Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya...
Polisi ni wengi, kila kwenye junction ya kuingia barabara kuu ya Morogoro kuna polisi amesimama.
Vijana wa bodaboda wengi wameondoka kwenye vituo vyao kwa hofu ya kukamatwa.
Kifupi nimeshangaa...
Ni katika pitapita zangu mitaani nimekutana na waalimu wakisema "Hatimaye tumepewa vishikwambi tulivyoahidiwa na serikali". Wanasema bila Sophia Mjema katibu wa itikadi na uenezi wa chama cha...
CuF- chama cha wananchi wilaya ya kinondini
Mkutano mkuu wa hadhara
Viongozi wakuu wa chama watakuwepo wakiongozwa na bingwa wa uchumi dunia prof.Lipumba.
Usipange kukosa njoo tuisimamishe...
Mkuu wa mkoa wa Njombe Mh. Anthony Mtaka amewataka Wakuu wa Wilaya kuifuatilia Mikutano ya vyama vya Upinzani na kusikiliza wanachoongea.
Zile hoja za msingi zichukueni mkazifanyie Kazi...
Wasalaam.
Baada ya sintofahamu ya baadhi ya Wateule kukataa kuapishwa katika nafasi waliyoteuliwa, kumezuka na maswali na minong'ono mingi isiyo na sababu.
Lakini, yote haya yamesababishwa na...
Katibu Mkuu wa CCM, Ndg. Daniel Chongolo amekunuliwa akionyesha kutoridhishwa na utendaji kazi wa Waziri wa Kilimo, Hussein Bashe ambaye ni Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya Taifa ya Chama cha...
Rais Samia ametaka utengenezwe mfumo ambao Mtuhumiwa akitoa Maelezo Polisi basi moja kwa moja DPP awe anayasoma
Hii itaondoa kubambikiana Kesi na kulazimishana kuandikisha maelezo kwa virungu na...
Mbunge wa Kigamboni Dkt Faustine Ndugulile (Mb) ameliomba Bunge kupitisha azimio la kubinafsisha huduma za vivuko nchini.
Dkt Ndugulile aliyasema haya leo tarehe 31.01.2022 wakati akichangia...
Leo Bunge limeanza vikao vyake lakini hapa Jf pako kimya kabisa kana kwamba Wabunge hawa hatukuwatuma Sisi Bungeni
Yaani binadamu anaona afadhali ajadili positively ziara ya Tundu Lisu nyumbani...
Rais Samia: Jiji la Dar es Salaam limetangazwa na jarida la African tour magazine kuwa jiji la sita kwa usafi barani Afrika. Na tumetoka mbali, kwa wale wanaoikumbuka Tanzania miaka kidogo ya...
Yaani ni vurugu mechi unaweza kukuta mtu anavaa tai ya Bendera ya Taifa au skafu ukadhani ni Mzalendo kumbe sanaa tupu!
Unamkuta Kigwa anatembea na kifimbo kama cha Nyerere kumbe usanii mtupu...
Nimepokea meseji hii kutoka TAMISEMI naomba tujadili hapa serikali inakwama wapi kuhusu hilo suala la watoto kutokwenda shule pamoja na kujengewa madarasa mapya,je imefanya utafiti yakinifu kujua...
Acheni Mungu aitwe Mungu. Kwa hakika Mola akimuinua mja wake, haijali hata wenye pembe wafanye nini.
Yale mambo yetu kutokea uwanja wa Bulyaga yanazidi kushika kasi:
"Ugumu wa maisha na...
Huu ndio ujumbe wangu wa Jumapili kwa vijana wa Tanzania waliopewa nafasi za kuwa viongozi, Tafadhalini sana, tafadhalini jamani, madaraka ni dhamana ya muda mfupi mno, jitahidini kutenda haki kwa...
Hii nchi ni ngumu sana.
Kumbe yawezekana hata kina Ben, Azory, Lijenje na wengine waliotoweka kama huyu kuwepo mahali, mikononi mwa dola.
Hapa ni maneno ya Dk. Mpango kutokea ikulu ya Chamwino...
Katika mizozo yote, kila siku pana mchokozi na mhanga.
Congo imekuwa ikiinyoshea kidole Rwanda siku zote kuwa ndiyo yenye lake jambo kwenye mzozo huu.
"Kulikoni kushindwa kumfunga Paka...
Tanzania kama nchi tujiulize ni kwanini suala kubwa na linalohusu wengi kama rushwa liachiwe Rais pekee.
Yaani suala la rushwa linabidi liwe la kimfumo na sio la kiongozi mmoja tu wa nchi...
KWA NINI VICTORIA CHARLES MWANZIVA MAKAMU MWENYEKITI UVCCM TAIFA 2022-2027
Kuna mambo Matano Muhimu sana katika Maisha ya kawaida mtu anapotaka kununua kiwanja katika eneo Fulani na kujenga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.