Kasesela: Chadema katika Mikutano yao yote Wanamsifia Rais Samia kwahiyo 2025 wasituingize gharama kwa kuweka mgombea, Mama anaupiga mwingi!

Mnec Richard Kasesela amesema Chadema wameanza Mikutano yao ya hadhara na kila mahali Wanamsifia Rais Samia hivyo 2025 wasiweke mgombea Urais wa JMT kwa sababu Mama anaupiga mwingi

Kasesela alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Watu mbalimbali
Jo mgombea atakuwepo na kombe tunanyanyua,mjiandae na mwambie ni Jecha wakae pembeni,kwani Watanzania tutaaamua na sio kuamuliwa🤔
 
Mnec Richard Kasesela amesema Chadema wameanza Mikutano yao ya hadhara na kila mahali Wanamsifia Rais Samia hivyo 2025 wasiweke mgombea Urais wa JMT kwa sababu Mama anaupiga mwingi

Kasesela alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Watu mbalimbali
Bwashee, Kasesera anayekaa kwenye nyumba ya babaake mtaa wa Migombani Regent Estate, hawezi kuongea upuuzi kama huu, weka video mkuu,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Tunajua Kasesera anazo nyumba pia Iringa na kule kwa Tukuyu.

Na kuishi kwenye nyumba ya baba yake Dar es Salaam, hakumzuii kuwa kada wa CCM na M-NEC Pia!

Muwe mnajibu hoja sio kukalia upumbavu wa Personal Attacks tu.
 
Mnec Richard Kasesela amesema Chadema wameanza Mikutano yao ya hadhara na kila mahali Wanamsifia Rais Samia hivyo 2025 wasiweke mgombea Urais wa JMT kwa sababu Mama anaupiga mwingi

Kasesela alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Watu mbalimbali
Wewe na hiyo kasesela akili zenyu same same
 
Tunajua Kasesera anazo nyumba pia Iringa na kule kwa Tukuyu.

Na kuishi kwenye nyumba ya baba yake Dar es Salaam, hakumzuii kuwa kada wa CCM na M-NEC Pia!

Muwe mnajibu hoja sio kukalia upumbavu wa Personal Attacks tu.
We bwege, nimemuatack wapi? Kwa taarifa yako nimekunywa bia na babake Kasesera contena kwa rasta, wakati pengine ulikuwa kiunoni kwa babaako,
Punguza gubu kijana,

Sent from my Infinix X658E using JamiiForums mobile app
 
Mnec Richard Kasesela amesema Chadema wameanza Mikutano yao ya hadhara na kila mahali Wanamsifia Rais Samia hivyo 2025 wasiweke mgombea Urais wa JMT kwa sababu Mama anaupiga mwingi

Kasesela alikuwa akihutubia mkutano wa hadhara uliohudhuriwa na Watu mbalimbali
CHAWA WA MAMA on duties!!
 
Sukuma Gang mna ushamba mwingi sana sasa unataka wamtukane?
 
Back
Top Bottom