Hili la KLM kuitangazia dunia kuwa Tanzania na Kenya kuna Machafuko, baadaye kuitoa Kenya na Kuacha Tanzania, kila Mzalendo apaze sauti

Robert S Gulenga

JF-Expert Member
Jan 3, 2013
2,160
1,492
Walichokifanya KLM ni uzushi, uongo na uchonganishi wa Kimataifa, katika statement yao walisema Tanzania na Kenya kuna machafuko ya Kijamii hivyo ndege zao zinaweza kulazimika kubadili ratiba.

Wakenya walipiga kelele saana na baada ya muda wakafuta kimya kimya kuhusu Kenya na kuacha Tanzania.

Yawezekana kuna agenda au kuna watu wanapotosha, vyovyote Iwavyo Serikali yetu iko Macho, lakini ni Muhimu kila Mzalendo na anayeipenda Tanzania asikae Kimya.

Tanzania ni Salama siku zote.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan.
IMG_20230129_072902.jpg
IMG_20230129_072856.jpg
 
Walichokifanya KLM ni uzushi, uongo na uchonganishi wa Kimataifa, katika statement yao walisema Tanzania na Kenya kuna machafuko ya Kijamii hivyo ndege zao zinaweza kulazimika kubadili ratiba.

Wakenya walipiga kelele saana na baada ya muda wakafuta kimya kimya kuhusu Kenya na kuacha Tanzania.

Yawezekana kuna agenda au kuna watu wanapotosha, vyovyote Iwavyo Serikali yetu iko Macho, lakini ni Muhimu kila Mzalendo na anayeipenda Tanzania asikae Kimya.

Tanzania ni Salama siku zote.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. View attachment 2498864View attachment 2498865
Naunga mkono hoja. Tuwe macho na maadui wa ndani na nje. Hatuna nchi nyingine nzuri kama Tanzania. 🙏🙏🙏
 
Walichokifanya KLM ni uzushi, uongo na uchonganishi wa Kimataifa, katika statement yao walisema Tanzania na Kenya kuna machafuko ya Kijamii hivyo ndege zao zinaweza kulazimika kubadili ratiba.

Wakenya walipiga kelele saana na baada ya muda wakafuta kimya kimya kuhusu Kenya na kuacha Tanzania.

Yawezekana kuna agenda au kuna watu wanapotosha, vyovyote Iwavyo Serikali yetu iko Macho, lakini ni Muhimu kila Mzalendo na anayeipenda Tanzania asikae Kimya.

Tanzania ni Salama siku zote.
Mungu ibariki Tanzania
Mungu mbariki Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan. View attachment 2498864View attachment 2498865
Hivi hammjui Tundu Lissu? Vuta subra
 
Mabeberu waleta watalii tunawavimbia tena. Sasa itakuaje aisee.

Tukiweza wawajibisha klm twende pia tukawajibishe ubalozi wa marekani nchi tanzania. Maana nao ndio chanzo cha aya
 
Hii mikaburu Shenzi zao kweli kweli!
Kiboko yao ni Vladimir Putin tu!
Mwenye Enzi Mungu zidi kumbariki Vladimir Putin kwa nguvu, uwezo, hekima na ufahamu!
Awapige magharibi mpaka waone dunia hii chungu walahi!
 
Sikubaliani na uzushi wowote ule kama huo wa KLM.
Sikubaliani pia na uzushi wako eti
"Hakuna nchi nyingine nzuri kama Tanzania ".
Wewe ukifikiria kwa level ya akili ya chekechea tu; unaweza kuwa na nchi nyingine nzuri kuliko ardhi ya mababu na mabibi zako, baba, mama,wajomba na shangazi zako? Acha kujitoa akili! 🙏🙏🙏
 
Huyu aliyekuwa kaja na nini?

Mbona kila siku vioja vingi? Kuna nini nyuma yake? Mbona hayakuwepo? Tumekuwa salama kabisa toka aende zake huko? Kaja tu mambo yamebadirika ghafula, mara hiki, mara sjui magaidi? Hatuelewi aisee
 
Serekali iitake KLM ieleze hicho wanachokiita civil unrest wamekiona wapi?Ikumbukwe unavyo declare mambo hasi ya nchi nyingine yana athari nyingi kisiasa,kiuchumi,kidiplomasia na kuiharibia nchi husika image.
Balozi wa Uholazi atakiwe kulitolea maelezo kwaniaba ya nchi yake.
Mambo mengine sio ya kukaa kimya hata kidogo kwa ustawi wa nchi yetu.Watanzania wanapambana na mengi kwenye maisha tusimame kuilinda heshima ya nchi yetu.
 
Back
Top Bottom