Wanaotuambia wanachama kuzifanyia promo shule za binafsi nchini watoto wao wanasoma shule za serikali?

Resilience

JF-Expert Member
Jan 4, 2023
875
4,101
Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private .

Ametuambia NI vigumu kupambanisha watoto waliosoma mazingira tofauti; lakini nijuavyo Mimi watoto wote wanafanya mtihani mmoja..usipomtangaza mshindi haimaanishi aliyefeli atapata maksi za juu. Matokeo yatabaki vile vile.

Twende kwenye ajira, nafasi za ajira zikitoka tunatangaza serikalini na huku sekta binafsi kwamba tunataka wenye vyeti vizuri.....hao wenye vyeti vizuri NI wakina na Nani? Kwamba Kwa Sababu hatukumtangaza kama Tanzania one cheti chake kinachafuka? No. Matokeo yatabaki yaleyale yatabgazwe yasitangazwe.

Tukiangalia kisiasa, wapo wagombea WA kisiasa ambao walifika mahali awataki KUSHINDA uchaguzi Bali Indonesia anataka watangazwe wameshinda Kwa asilimilia Mia moja. Watu hawa hawa wenye nafsi za ubinafsi Leo wakisikia mtoto wa flani kawa Tanzania one basi roho zinawauma. Hizi roho za kimafsikini na kukosa maarifa.

Pamoja na matangazo haya Naona mtoa TANGAZO ameamua kuishia kwenye kukaimu nafasi aliyopo Kwa Sababu Kwa reasoning yake NI vigumu kubadili mfumo wetu WA elimu.

Wapo wanaosema hatuwezi kulinganisha wanafunzi; nakubali Ila tuamua Sasa tubague wanafunzi kuanzia kwenye mitihani. Wanaosoma mazingira Duni wafanye mtihani wao na wanaosoma mazingira Bora wafanye mtihani wao .

Option ya pili nikulazimisha watoto WA viongozi wote WA umma kusoma shule za umma. Wakipeleka watoto wao shule za umma itasiadia Sana wao kuboresha maisha na mazingira ya shule. Watakuwa na uchungu; Ila endapo tutaendelea kudanganyana kwamba kutotangaza matokeo ya mshindi wa Kwa za na shule Bora Ndipo tunaboresha elimu basi huu utafiti urudiwe upya.

Watu wanawekeza kujenga shule na kuzitangaza.....tuzijenge shule za umma na matajiri walazimike watoto wao wasome shule hizo
 
Promo na mtoto kusoma private haivna uhusiano .

Levo ya maisha yako ndiyo yanakupa Uhuru wa kuamua mtoto asome private ama serikalini. Kama hali ngumu mpeleke serikalini akakae kwa kubanana (darasa moja wanafunzi 250)
 
Nimeona imetolewa hoja kwamba kutangaza mwanafunzi Bora au kutangaza shule Bora nikuzifanyia marketing shule binafsi. Aliyetangaza au kutoa TANGAZO hili simfahamu historia yake lakini natabiri kwamba watoto wake aidha wanasoma au walisoma shule nzuri za private .

Ametuambia NI vigumu kupambanisha watoto waliosoma mazingira tofauti; lakini nijuavyo Mimi watoto wote wanafanya mtihani mmoja..usipomtangaza mshindi haimaanishi aliyefeli atapata maksi za juu. Matokeo yatabaki vile vile.

Twende kwenye ajira, nafasi za ajira zikitoka tunatangaza serikalini na huku sekta binafsi kwamba tunataka wenye vyeti vizuri.....hao wenye vyeti vizuri NI wakina na Nani? Kwamba Kwa Sababu hatukumtangaza kama Tanzania one cheti chake kinachafuka? No. Matokeo yatabaki yaleyale yatabgazwe yasitangazwe.

Tukiangalia kisiasa, wapo wagombea WA kisiasa ambao walifika mahali awataki KUSHINDA uchaguzi Bali Indonesia anataka watangazwe wameshinda Kwa asilimilia Mia moja. Watu hawa hawa wenye nafsi za ubinafsi Leo wakisikia mtoto wa flani kawa Tanzania one basi roho zinawauma. Hizi roho za kimafsikini na kukosa maarifa.

Pamoja na matangazo haya Naona mtoa TANGAZO ameamua kuishia kwenye kukaimu nafasi aliyopo Kwa Sababu Kwa reasoning yake NI vigumu kubadili mfumo wetu WA elimu.

Wapo wanaosema hatuwezi kulinganisha wanafunzi; nakubali Ila tuamua Sasa tubague wanafunzi kuanzia kwenye mitihani. Wanaosoma mazingira Duni wafanye mtihani wao na wanaosoma mazingira Bora wafanye mtihani wao .

Option ya pili nikulazimisha watoto WA viongozi wote WA umma kusoma shule za umma. Wakipeleka watoto wao shule za umma itasiadia Sana wao kuboresha maisha na mazingira ya shule. Watakuwa na uchungu; Ila endapo tutaendelea kudanganyana kwamba kutotangaza matokeo ya mshindi wa Kwa za na shule Bora Ndipo tunaboresha elimu basi huu utafiti urudiwe upya.

Watu wanawekeza kujenga shule na kuzitangaza.....tuzijenge shule za umma na matajiri walazimike watoto wao wasome shule hizo
Nchi hii ina watawala wenye akili za ajabu sana.
 
Kutokutangaza Tanzania one au shule zilizofanya bora Ni sawa sababu hakuna impact yeyote inayotokana na hilo swala katika kukuza elimu yetu isipokuwa ni kuongezeka kwa ada za shule za private pamoja na shule zenyewe.

Unapomlinganisha mtoto anayesoma kidete secondary school (ya kata) na mtoto anayesoma Feza boys or girl. Hakuna uwiano hata kidogo either kwenye upatikanaji wa elimu au hata mazingira yao.

SWALI DOGO TU TOKA SHULE ZA PRIVATE ZISHIKE HATAMU NI MWANAFUNZI GANI WA SHULE YA SERIKARI ALIKAMATA TZ ONE LABDA MI SIFAHAMU.
 
Back
Top Bottom