Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Said Mohamed Saad - Mmiliki wa Home shopping Centre, amwagiwa tindikali!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by n00b, Jul 19, 2013.

 1. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #1
  Jul 19, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 951
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Wakuu,

  Tetesi zilizonifikia ambazo SI NZURI (kwa tunaopenda kuona wenzetu hata tukiwa na tofauti nao) zinaashiria kama kuna kitu kisicho cha kawaida kimemkuta bwana huyu hii leo.

  Vyanzo vyangu vya kuaminika vinanihabarisha kuwa bwana huyu yamemkuta ya kumkuta. Kuna mwenye kuwa na 'ukweli' au 'tetesi' zaidi?

  ==============
  UPDATES:
  ==============

  Taarifa za awali zinadai kamwagiwa Tindikali maeneo ya Msasani City Mall muda wa saa 2.

  Ni jirani na Ubalozi wa Marekani na jirani kabisa na Police Oysterbay.

  Jamaa aliyefanya kitendo hicho alitoka mbio, mlinzi akamkimbiza lakini bahati mbaya akateleza na kuanguka na jamaa akawahi pikipiki na kutoweka eneo la tukio.

  Said amelazwa Trauma (AMI) Hosp - Masaki.

  Kapata madhara macho yote mawili ila moja ndilo limeumia zaidi sehemu ya juu.

  Mwenyewe anaweza kuzungumza japo amefungwa mashine sehemu ya pua na madaktari wanamhudumia.

  Polisi wanahaha kutafuta wahusika kwa nguvu kubwa na huenda akakamatwa mhusika mapema sana.


  ==============

  Some useful topics on JF:

  ===============
  ==============
  Katika picha, ni eneo lilipotokea tukio la kumwagiwa Tindikali

  [​IMG]
   

  Attached Files:

 2. B

  Bangoo JF-Expert Member

  #2
  Jul 19, 2013
  Joined: Nov 3, 2011
  Messages: 5,594
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  sasa wewe si ndo utuambie hiyo tetesi..
   
 3. Royals

  Royals JF-Expert Member

  #3
  Jul 19, 2013
  Joined: Nov 19, 2011
  Messages: 1,430
  Likes Received: 31
  Trophy Points: 145
  Wengine tuko nje ya nchi si utuambie tetesi zenyewe ni kuhusu nini?
   
 4. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #4
  Jul 19, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 951
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Taratibu wakuu.

  Wale wakongwe hapa JF watakuwa wanajua namaanisha nini. Kifupi, si jambo zuri na uhakika ukipatikana nitaomba mods wanisaidie kubadili title toka TETESI kwenda Breaking News na nitaanika kila kitu hapa na ikibidi na picha.

  Nipe muda, nipo around wakuu
   
 5. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #5
  Jul 19, 2013
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,242
  Likes Received: 5,968
  Trophy Points: 280
  ndiyo kamwagiwa tindikali?
   
 6. Erythrocyte

  Erythrocyte JF-Expert Member

  #6
  Jul 19, 2013
  Joined: Nov 6, 2012
  Messages: 42,095
  Likes Received: 20,954
  Trophy Points: 280
  Weka wazi mkuu , ameng'olewa meno bila ganzi au kapiga magumashi kadakwa ?
   
 7. n00b

  n00b JF-Expert Member

  #7
  Jul 19, 2013
  Joined: Apr 10, 2008
  Messages: 951
  Likes Received: 126
  Trophy Points: 60
  Okay, data zimepatikana. Narekebisha 1st post na ntaomba mods wanisaidie kurekebisha title
   
 8. Kocha

  Kocha JF-Expert Member

  #8
  Jul 19, 2013
  Joined: Mar 2, 2008
  Messages: 375
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 45
  Mkuu mwaga mambo watu tunataka kwenda kulala mida hii
   
 9. Wanitakiani

  Wanitakiani JF-Expert Member

  #9
  Jul 19, 2013
  Joined: Apr 18, 2008
  Messages: 644
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Ni kweli, amemwagiwa tindikali usiku huu na watu wasiojulikana. Ni Said Mohammed Mahmoud, mdogo wake Gharib.
   
 10. k

  kill JF-Expert Member

  #10
  Jul 19, 2013
  Joined: May 21, 2013
  Messages: 1,833
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  nn tena
   
 11. Nyakageni

  Nyakageni JF-Expert Member

  #11
  Jul 19, 2013
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 13,854
  Likes Received: 1,173
  Trophy Points: 280
  Aisee! Ile 'mall' ya jirani na ubalozi wa Marekani imefunguliwa? Au ni yake?
   
 12. Fabian leonard

  Fabian leonard Member

  #12
  Jul 19, 2013
  Joined: Feb 7, 2013
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Makubwa.
   
 13. bampami

  bampami JF-Expert Member

  #13
  Jul 19, 2013
  Joined: Nov 5, 2011
  Messages: 4,695
  Likes Received: 1,135
  Trophy Points: 280
  Jamani wapi tunakwenda nchi hii????
   
 14. The Don

  The Don JF-Expert Member

  #14
  Jul 19, 2013
  Joined: Dec 2, 2011
  Messages: 3,435
  Likes Received: 124
  Trophy Points: 160
  Mmmh! Hii nchi kila kunapokucha kunazidi kuwa siyo sehemu salama ya kuishi,mola amsaidie
   
 15. MTAZAMO

  MTAZAMO JF-Expert Member

  #15
  Jul 19, 2013
  Joined: Feb 8, 2011
  Messages: 12,058
  Likes Received: 4,337
  Trophy Points: 280
  Hii nchi ipo out of control labda mnasubiri maangamizi muelewe!!
   
 16. O

  OIL CHAFU JF-Expert Member

  #16
  Jul 19, 2013
  Joined: Jun 8, 2012
  Messages: 675
  Likes Received: 113
  Trophy Points: 60
  Subiri wana Lumumba team waje utasikia CHADEMA wanahusika
   
 17. A

  Amiri said New Member

  #17
  Jul 19, 2013
  Joined: Dec 23, 2012
  Messages: 1
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  duh! Tanzania
   
 18. Prisoner 46664

  Prisoner 46664 JF-Expert Member

  #18
  Jul 19, 2013
  Joined: Dec 18, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Kweli ishi na watu vizuri.
  No amount of money can re-make a pretty face!!
   
 19. MBWA WA MANZESE

  MBWA WA MANZESE JF-Expert Member

  #19
  Jul 19, 2013
  Joined: Mar 14, 2013
  Messages: 1,632
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Hii nchi kila mtu ajilinde, polisi ni dhana tu hapa nchini kwetu
   
 20. masanjasb

  masanjasb JF-Expert Member

  #20
  Jul 20, 2013
  Joined: Aug 11, 2011
  Messages: 2,366
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Ukicheka sana ipo siku utalia sana

  Ukilia sana ipo siku utakuja cheka sana

  Ukiwa mgovi sana kuna siku utakuwa mpole sana

  Ukiwa malaya sana kuna siku utakipa kilichopo kwenye huo umalaya(ukimwi)

  Ukiwa mchimbaji wa madini na ukavumilia ipo siku utatoka na chochote kama sio kuishia humo humo na shimo lako kuwa kaburi lako

  Ukiwa muongeaji sana ipo siku utakuwa mc wa harusi ama mlopokaji

  Ukiua kwa upanga utakufa kwa upanga

  Maisha hayawi maisha bila kuishi

  Ikiwamwagia sana wenzako ipo siku na wewe utamwagiwa, iwe maji, soda, bia, mafuta ya taa, petroli,acid etc...

  Pole sana bro, kama ni kweli wakuwaishe tu india kabla hujadhurika sana, wanadamu kuna mda wanakosa damu wanabakia wana tu
   
Loading...