Ukweli usiofichika mikutano ya CHADEMA imekosa mvuto. Watu walikuwa wachache sehemu zote walizofanya. Na ikageuka kuwa mikutano ya wanachadema. Haina tofauti na vikao vya ndani vya chama.
CHADEMA...
Tuwe wakweli wanaohitaji Katiba mpya kwa udi na uvumba ni Vyama vya Upinzani wala siyo wananchi.
Ndio sababu Naibu Katibu mkuu wa CHADEMA Benson alisema pale Mwanza kwamba bila Katiba Mpya hakuna...
Kuna wakuu wa wilaya ambao wameteuliwa kutoka CWT! Pamoja na kwamba walikuwa wengi wao na tuhuma kubwa za ubadhirifu na walikwisha pewa mapendekezo ya kuchukuliwa hatua za kuwajibishwa...
Ndugu zangu watanzania
Rais Samia Amewasha moto wa Maendeleo Usiozimika, Ni Moto katika Elimu, Afya, Miundombinu, huduma za maji Safi na salama, umeme mpaka vijijini, Moto katika miradi ya...
Nataka kumtahadharisha mama yangu Mpendwa Mama Dk Angelina Mabula.
Amekaa hapo Wizara ya Ardhi kwa muda mrefu sasa lakini hajui kuwa kuna kakundi au genge la wezi na waporaji wa viwanja.
Suala...
Kwa jinsi ilivyo, ukuu wa mikoa na Wilaya, utafika wakati watu wataanza kukataa kuteuliea kwa jinsi wanavyokuwa kwenye hatari ya kutenguliwe muda wowote!
Unateuliwa leo kesho huna kazi, huku ni...
Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini, Prof Sospeter Muhongo, ameomba kufanya KIKAO MAALUM na Wakuu wa Sekondari zote 27 za Jimboni mwetu.
SEKONDARI 27:
*25 za Kata/Serikali
*2 za "private"...
Mawaziri wengine Bashe ndiye amewapa viwango vya juu ya jinsi ya kuwa waziri kwa miaka hii. Msishangae Ikulu inamtumia Bashe sana kuongea na waandishi wa habari.
Mawaziri wengine jifunzeni kutoka...
Hakuna wakati wowote ule, nchi yetu ya Tanganyika na Zanzibar (Tanzania) imewahi kuongozwa na chama kingine chochote kile zaidi ya hapo awali kuongozwa na TANU (Tanganyika) na ASP (Zanzibar) vyama...
Kazi imeanza
Mbunge wa Ubungo Profesa Kitila Mkumbo amemshukia kama mwewe Meya mstaafu mh Boniface Jacob kwa matokeo mabaya ya Wanafunzi wilayani humo
Prof Kitila amesema Elimu ni mchakato...
10. Nina hatia mimi
Wakosoaji wangu bungeni waliponizidi hoja nikaamua kuzuia matangazo ya moja kwa moja ili wananchi waone mimi ni bora kuliko wao ,ninajua hapo ndio mwaronaini kumbe nilipaswa...
Na Mwl Udadis, Dodoma
Benki ya Maendeleo ya Afrika (AfDB) imetangaza kuipatia Tanzania kiasi cha Dola za kimarekani milioni 120 ikiwa ni katika kuunga mkono jitihada za Rais Samia katika...
Mkurugenzi wa Mawasiliano ya Rais, Ikulu, Zuhuru Yunus amesema moja ya mambo ambayo Rais Samia Suluhu Hassan amezungumza na Muigizaji Maarufu wa Filamu Duniani kutoka Uingereza Idris Elba ambaye...
Katibu wa NEC-Itikadi na Uenezi Ndugu Sophia Edward Mjema amesema ni lazima Viongozi wote nchini wasikilize kero na kuzitatua kwa haraka na muda mfupi sana badala ya kurundikana kwa kero na...
Katibu Mkuu WA CCM ndugu Chongolo amemwagiza waziri wa Kilimo Mhe. Bashe kwenda Wilayani Mvomero kukagua na kuupatia ufumbuzi mradi wa umwagiliaji wenye thamani ya SHS milioni Tisa ambao umekwama...
Siku Lissu alivyotua nchini wakati akiwahutubia wananchi wa Temeke alionesha kushangazwa na bei za nyama na maharage nchini Tanzania.
Binafsi ninaona Lissu alizungumza kwa lengo la kupotosha na...
Mzee alituita vijana wake wote pale nyumbani. Akasema anataka tumfuate tuanze safari. Nakumbuka mdogo wangu alimuuliza "mzee mbona hatujajiandaa na pia unataka twende wapi?"
Mzee alimkazia macho...
Nauliza tu wandugu.
Tangu enzi ya awamu ya jk nilianzisha utaratibu binafsi kuandika tarehe rais wa jamhuri akiondoka nchini kwenda nje na tarehe akirudi. Hii iliniwezesha kuona rais kama...
Polisi Tunduma wametahadharisha Wahalifu wanaojificha Kwenye mgongo wa CCM waache mara moja
Imedaiwa katika Mkutano wa hadhara kuwa baadhi ya Wahalifu hujidai ndio mabodyguard wa Viongozi na...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.