Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Nadhani pamoja na kuufumua mfumo wa haki jinai, haya mambo yasiishie hapo. Ofisi ya DPP na Mwanasheria Mkuu wawaondoe mawakili wote waliokuwa wakifanya kazi ya kishetani pale kisutu na nchini...
10 Reactions
40 Replies
3K Views
Huu ni mtazamo wangu binafsi juu ya katiba iliyopo na umuhimu wake licha ya upinzani kuipigia kelele. Mtazamo wangu ni kwamba katiba ya JMT ni bora sana na kwa sasa ni baadhi ya vipengele tu...
1 Reactions
0 Replies
552 Views
Tuhuma nyingi za kunyosheana vidole ndani ya serikali hazijaanza leo angalia watu wote waliotuhumiwa katika kadhifa mbalimbali za uporaji wa fedha za umma nini walifanya- Mfano pesa za escrow...
7 Reactions
15 Replies
1K Views
Wameanza kuumbuana. Mbunge wa Geita Mjini Musukuma amemjia juu Luhaga Mpina kwa kumhusisha na kueneza uzushi Kuhusu Bwawa la umeme la Nyerere kwenye Clip aliyodai ilikuwa ikienea mitandaoni...
8 Reactions
102 Replies
8K Views
Mchungaji Msigwa amesema haiwezekani Wananchi wanalia njaa halafu Serikali inazidi kuongeza Matumizi yasiyo ya lazima ikiwemo ununuzi wa magari ya bei kubwa kubwa. Serikali ni lazima ibane...
4 Reactions
8 Replies
651 Views
Ndugu zangu watanzania, Huo Ni ushauri wangu kwa serikali ya Rais Samia kuhakikisha kuwa inawapa kipaombele wafanyabiashara wakubwa wa kitanzania katika kila aina ya fursa ya kibiashara,Tenda...
2 Reactions
6 Replies
747 Views
Mimi ni mwana CCM, Linapokuja suala la uwezo wa Mtu na Akili kubwa huwa haki yake nampa mtu yeyote Kama ninavyowashangaa wanahisabati na wana sayansi kama Albert Einstein, Isaac Newton na Blaise...
4 Reactions
3 Replies
839 Views
Leo tena Kambenga kanyang'anya mbegu za wanakijiji wakulima lakini akazidiwa nguvu na kukimbia huku wakiacha pikipiki,jioni hii katuma askari waende kukamata watu.Kambenga hana hati ya umiliki wa...
0 Reactions
3 Replies
655 Views
GAMBO UMENISHANGAZA Nimemsikiliza Mbunge wa Arusha Mjini Mrisho Mashaka Gambo bungeni akichangia hoja ya kupanda Kwa Bei ya bidhaa. Gambo amelalamikia Bei ya mchele Kilimanjaro kuwa 3,500/=...
1 Reactions
8 Replies
858 Views
Rais anatangaza kuunda serikali yake upya, halafu baadaye anakwenda Davos, anakwenda Dakar, anazitafuta pesa za plea bargaining. Mpaka unafikiria labda Rais amekumbana na kigingi katika mpango...
0 Reactions
5 Replies
677 Views
Mkuu wa Wilaya (DC) Mteule wa Mbozi, Ally Masoud Maswanya ajiondoa katika nafasi hiyo ya U-DC. Badala yake, DC aliyekuwa Kongwa, John Ernest Palingo anakwenda kuwa DC Mbozi, na Kongwa itasubiri...
18 Reactions
323 Replies
88K Views
Siku tatu baada ya Rais Samia Suluhu Hassan, kutangaza ruhusa ya mikutano ya hadhara kwa vyama vya siasa, Kamati Kuu ya Chadema imeazimia kuzindua rasmi mikutano hiyo. Rais Samia alitangaza...
5 Reactions
23 Replies
2K Views
Katika hali ambayo ilitegemewa na wengi kutokea ya CHADEMA kukosa watu kwenye mikutano yao, imepelekea chadema kutoendelea na mikutano hiyo. Wote tunakumbuka chadema walikuja na kila aina ya...
6 Reactions
32 Replies
2K Views
Bila kumumunya maneno wala kumuogopa mtu yeyote askofu huyu amekemea vikali wizi wa uchaguzi uliofanywa na mwendazake mwaka 2020. Hebu msikilize anavyopiga nyundo laivu bila chenga 👇 MAONI...
18 Reactions
123 Replies
7K Views
Januari 5, 2011 Arusha, Tanzania. Hii ni siku ambayo wapenda amani wote hatutakaa tuisahau. Ni siku ambayo tuliondokewa na wapendwa wetu huku wengine wengi wakipata majeraha mabaya akiwemo...
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Ulipozungumzia Nyama na Maharage wananchi walikuelewa Ila wanasiasa walikuelewa vizuri zaidi. Umebadili michango ya wabunge bungeni, Dr. Bashiru ameacha kebehi anajadili njaa; Gambo ameacha...
3 Reactions
2 Replies
577 Views
Ukimsikiliza Mhe. Rais na ukiona idadi ya maafisa wakuu wa Usalama waliotumbuliwa Kwa kipindi cha miaka Saba iliyopita utabaini hatuna maafisa sahihi kwenye nafasi za juu za menejimenti ya...
1 Reactions
1 Replies
566 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amezawadiwa kofia ikiwa ni ishara ya upendo na Ndugu. Suleiman Mtumwa Vuai ambaye ni Mwenyekiti wa Wazee Mkoa wa Kusini...
1 Reactions
4 Replies
542 Views
Nashindwa kuelewa kwanini TRA wanashindwa kuiga kwa Ruto wa Kenya na kuongeza mapato kutoka katika wimbi hili la mitume na manabii walioanzisha biashara ya Maji, chumvi, vitambaa nk wakiviita vya...
48 Reactions
273 Replies
14K Views
BOMOA TUTAJENGA KESHO WOTE- Bomoae Bomoae Bomoa mama tutajenga kesho imaa, Tujajenga kesho imaa x2 JENIFA NDESILE-Imaao enyi watoto wazuri wote, njoni tucheze leo bomoa WOTE- Bomoae Bomoae...
2 Reactions
1 Replies
468 Views
Back
Top Bottom