Rais Mwinyi azindua Kituo cha Maarifa ya Horticulture

Rais Mwinyi azindua Kituo cha Maarifa ya Horticulture

Ojuolegbha

JF-Expert Member
Joined
Sep 6, 2020
Posts
1,773
Reaction score
1,174
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk Hussein Ali Mwinyi, amezindua kituo cha maarifa ya HORTICULTURE, kilimo cha viungo, matunda na mbogamboga, shughuli iliyofanyika Mpendae, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi.

Katika hafla hiyo Rais Dk. Mwinyi aliishukuru Taasisi ya TAHA ambao ndio waenyeji wa hafla hiyo kwa mchango mkubwa wa kuongeza ajira hasa kwa kina mama Zanzibar.

Pia, aliiagiza Wizara ya Kilimo na TAHA waimarishe kilimo cha mbogamboga na matunda kwa kushirikiana.

Kwa kumalizia Rais Dk. Mwinyi alisema wakulima wajipange kukidhi soko la ndani na baadae wauze nje mazao yao lakini yawe katika ubora unaotakiwa.

[emoji413]31 Januari 2023,

[emoji625]Mpendae, Wilaya ya Mjini, Mkoa wa Mjini Magharibi Unguja.
IMG-20230131-WA0042.jpg
IMG-20230131-WA0043.jpg
IMG-20230131-WA0044.jpg
IMG-20230131-WA0045.jpg
IMG-20230131-WA0046.jpg
IMG-20230131-WA0041.jpg
IMG-20230131-WA0038.jpg
IMG-20230131-WA0037.jpg
IMG-20230131-WA0040.jpg
IMG-20230131-WA0035.jpg
IMG-20230131-WA0036.jpg
IMG-20230131-WA0039.jpg
 

Attachments

  • IMG-20230131-WA0041.jpg
    IMG-20230131-WA0041.jpg
    85.2 KB · Views: 7
... hajagusia matokeo ya F4 hususan huko Zanzibar? Maana hayo mengine ni matokeo ya elimu; kwa elimu/matokeo yale! Hali sio.
 
Back
Top Bottom