CWT na dhambi ya Walimu walioajiriwa 2013, dhidi ya Serikari ya Magufuli na Mama Samia

makwagejo

JF-Expert Member
Nov 25, 2019
361
267
Evil does not pay, leo imebainika wazi CWT ni agent wa CCM, hata kama mlioteuliwa mmegoma kuapa ila mmeumiza watu sana na walimu wanaodhalilishwa kwa kufungishwa mikataba ya hovyo.

• Mh Rais huyu mama alisifiwa sana na JPM, hata kumteua tu umempa neshima sana, lakini ni miongoni mwa watu ambao ameumiza walimu wa 2013, mh Rais mm sikufundishi kazi ila kwa cheo alichonacho CWT anapaswa pia akiachie.

• Ndugu zangu walimu hivi mnadhani kitatokea nn huyu mama asipo kubali uteuzi,? Kutakua na positive relationship hapo kweli? Ndo yaleyale walimu tutaambiwa tutakula jeuli yetu.

• CWT maslai mapana ya walimu tumuombe leya utupishe kwanza ulishawatia hasara walimu wa 2013, na Samia amekupa mchongo wa kutodhalilika, kwa kushindwa kwako kusimamia haki za watu umetengeza ajenda kwa vyama vya upinzani.

• Hata huu uteuzi wa mbongwe hutaweza kusimamia haki za wachimbaji wadogo wadogo wa dhahabu, utakua dalali tu na mpigaji, huwezi kusimamia makilo ya dhahabu yanakamuilwa, hatuna uhakika hata na banki yetu ni salama.

Mh! Naomba ujari maslai ya hawa walimu wa 2013, hawana siniority, yani mishahara yao haina utofauti na wadogo zao.

Lakini huyu Leya CCM mmemkumbatia lakini amewaachia mwiba wa kujibu hoja nzito, wakati mwingine muheshimiwa angalia watu wengine tofauti na hivi vyama vya wafanya kazi, viunaumiza watu.
 
CWT is stupid and lack of vision for the government!

If the government is serious and the teachers cannot lea a stupid party like CWT

How is the president of CWT paid 7 million exactly for what job?

A teacher has 2% salary deductible for what job is really productive for him?

Why does teacher promotion depend on CWT or JMT president's will?

I repeat again raise cwt stupidity of the highest state!
 
Sabaya amebambikiwa kesi tu na aliyepanga kumuuwa akachiwa huru licha ya kwamba mahakama ilimkuta na kesi ya kujibu!

Sabaya kwa mujibu wa mahakama yuko huru ila bado yuko gerezani kwa maelekezo ya viongozi wa serikali.
 
CWT is stupid and lack of vision for the government!

If the government is serious and the teachers cannot lea a stupid party like CWT

How is the president of CWT paid 7 million exactly for what job?

A teacher has 2% salary deductible for what job is really productive for him?

Why does teacher promotion depend on CWT or JMT president's will?

I repeat again raise CWT stupidity of the highest state!
Kaka nakuunga mkono, hata wananchi wa mbogwe hawamtaki, nasikia UVCCM nao wanasubilia maelekezo ya kushambulia, unless awe na hoja nzito za kukataa uteuzi
 
Back
Top Bottom