Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa Chadema Tundu Lissu, leo amekutana na kufanya mazungumzo na Makatibu wa Kanda wa CHADEMA Mjini DSM.
Ikumbukwe kwamba Makatibu wa Kanda...
Jaji Mkuu Prof. Ibrahim Hamis Juma ameyasema hayo leo hii trh 1/2/2023 katika maadhimisho ya wiki ya sheria.
amesema Serikali ilitoa fedha za kununua "software" ambayo imesha nunuliwa na sasa...
Waswahili hawakukosea waliposema " nioneshe rafiki yako nikwambie tabia zako"
Sote tunakubali mpaka sasa( hatujui hapo baadae) Mh Rais Samia( PhD honorius causas) Ni rais wa pekee sana.
Ni wa...
Tumpongeze rais Mama Samia kwa kuwa na ujasiri wa kulisemea hili.
Hii ni 180° tofauti na mtangulizi wake aliyekuwa akiwamwagia sifa wasizokuwa nazo kinyume cha matarajio ya wengi.
Taasisi...
Uchunguzi wa akaunti ya Fedha za makubaliano ya kukiri kosa (Plea bargaining);
Jaji Biswalo Mganga awajibishwe!
Utangulizi,
Kuibuka tena kwa taarifa za Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za...
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akishiriki kilele cha Maadhimisho ya Siku ya Sheria Nchini katika viwanja vya Chinangali Jijini Dodoma leo tarehe 01 Februari, 2023...
1. Utangulizi
Ndugu Waandishi wa habari, tarehe 28 Januari 2023 nilitembelea Mbagala kufuatiwa na Chama chetu kupokea malalamiko kutoka kwa waathirika wa mabomu.
Kilio chao kwa muda mrefu tangu...
Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika.
Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa...
Mar 6, 2019
Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Luhaga Mpina amefika katika Wilaya ya Kilwa mkoani Lindi kusikiliza kero za wavuvi huku akisisitiza kuwa ikiwa ataruhusu uvuvi haramu uendelee kizazi...
31 Januari 2023
KONGAMANO KUJADILI NAFASI YA MAHAKAMA UBORESHAJI MAZINGIRA YA BIASHARA LAFANYIKA
Na Faustine Kapama-Mahakama, Dodoma
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Prof. Ibrahim Hamis Juma...
Huu ndio ukweli halisi!
Mheshimiwa Luhaga Mpina, mbunge wa Jimbo la kisesa, alijitoa kafara,bila kupepesa macho bungeni,na kuichana Live, serikali ya chama chake cha CCM. Akatohoa kila kitu...
Habari za leo marafiki, vijana wenzangu, wakubwa wangu na maboss zangu,
Naomba tushiriki huu majadala kwa kupiga kura ikiwezekana tutolee na maelezo.
Karibuni
Kabla ya ujio wa serikali ya Magufuli 2015.
Samaki waliadimika ndani ya Ziwa Victoria,kutokana na uvuvi haramu uliokuwa umeshamiri.
Hadi ikapelekea Viwanda vingi vya vya kuchakata na kusafirisha...
Mbunge wa Arusha, Mrisho Gambo ndio anaongoza kwa hoja nzito za kuwapigania wananchi ndani ya Bunge tofauti na wabunge wengine wa kusifu na kuabudu akifuatiliwa na Bashiru Ally.
Tuweke list ya...
Jana tarehe 31/11 katika kikao cha brief cha wabunge kabla ya kuanza vikao vya leo vya kawaida mbunge wa Arusha aliwashukia wabunge na mawaziri na kusema kuwa Rais Magufuli ana laumiwa kwa tabia...
WAKATI Serikali ikiongeza nguvu kupambana na rushwa ya ngono na unyanyasaji wa kingono, Mkurugenzi wa Rasilimali Watu wa Mamlaka wa Bandari (TPA) Gabriel Mwita Thobias anadaiwa amekuwa akitumia...
Wavuvi wa Kanda ya Ziwa wamemtuhumu Waziri wa Mifugo na Uvuvi, Mashimba Ndaki kwa kitendo chake cha kushindwa kufika maeneo ya wavuvi kuwasikiliza ikiwemo visiwani na badala yake anaishia ziara...
Nimepenyezewa habari za uhakika kwamba Katibu wa CCM aliyepo ziarani Morogoro, anatarajiwa kutembelea pia Chuo cha kilimo SUA siku ya Jumapili asubuhi. Hivyo basi wafanyakazi wote bila kukosa ( ni...
Fuatilia yanayojiri Bungeni leo, Februari 1, 2023 kwenye Mkutano wa 10, Kikao cha 2
RATIBA YA LEO
Dua
Hati za kuwasilisha mezani
Taarifa za kamati
Kamati ya Ardhi, Maliasili na Utalii
Kamati...
Rais Samia alipotoa ruhusa ya kufanyikia Mikutano ya hadhara alisema walio tayari hata Siku ile waanze. Hadi leo nimeshuhudia mkutano mmoja tu wa CCM pale Mtongani.
Chadema waliolilia sana...