CHADEMA wamsubiri Tundu Lissu baada ya mikutano kuruhusiwa, asipokuja sijui itafanyikaje!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
84,035
142,131
Rais Samia alipotoa ruhusa ya kufanyikia Mikutano ya hadhara alisema walio tayari hata Siku ile waanze. Hadi leo nimeshuhudia mkutano mmoja tu wa CCM pale Mtongani.

Chadema waliolilia sana Mikutano bado wanamsubiri Tundu Antipas Lissu ili wajaze Uwanja wa Kawe njia panda ya Peponi pale kwa Mwamposa.

Nchi ngumu hii.
 
Acha uwongo. Njoo huku maeneno ya King'ong'o uone vibe la mkutano wa kwanza wa hadhara ngazi ya kata.
 
Rais Samia alipotoa ruhusa ya kufanyikia Mikutano ya hadhara alisema walio tayari hata Siku ile waanze. Hweadi leo nimeshuhudia mkutano mmoja tu wa CCM pale Mtongani.

Chadema waliolilia sana Mikutano bado wanamsubiri Tundu Antipas Lissu ili wajaze Uwanja wa Kawe njia panda ya Peponi pale kwa Mwamposa.

Nchi ngumu hii.
we mzee punguza uchokozi..
 
Pamoja na yote aliyopakaziwa na mipango ya ccm (ovu zote za ccm wamtume na wamgeuke)----- profesa Edward ngoyayi lowasa

USHAURI WAke kwa CHADEMA,nanukuu hakikisheni chadema kimataifa inatambulika na kuongelewa duniani kote vyombo mbambali habari au kwenye viunga vya serikali mbalimbali duniani ,akimanisha white house /(US),urusi ,china ,UMOJA wa ULAYa ,great Britain ,nk

Ikawa kinyume chake wakati chadema inajiandaa ,ccm ikaaza yenyewe kutangazia dunia kwamba Tanzania Kuna chadema Iko imara Sana inaelekea kushika dola ,yaani

Mosi ,piga risasi LISU Hadi Leo mnakumbuka
l
Pili,UGAIDI wa MBOWE

Huko aliko augue pole
 
Rais Samia alipotoa ruhusa ya kufanyikia Mikutano ya hadhara alisema walio tayari hata Siku ile waanze. Hadi leo nimeshuhudia mkutano mmoja tu wa CCM pale Mtongani.

Chadema waliolilia sana Mikutano bado wanamsubiri Tundu Antipas Lissu ili wajaze Uwanja wa Kawe njia panda ya Peponi pale kwa Mwamposa.

Nchi ngumu hii.
Chadema Sasahivi wanaona aibu ya kufanya mikutano ya nje sababu wanajua hawezi kupata nyomi,kama enzi za akina Sillaa na Zito hao ndio Wanasiasa wenye mvuto ingawa Zitto alikuwa akiwazunguka, Sasahivi walikuwa wanajificha kwenye kivuri cha Magufuli kupiga marufuku mikutano ya nje.Samia amewarusu hatusikii tena maneno ya CCM ndio wanafanya Siasa peke yao.Mbowe anajua kuwa baada ya gia angani alipoteza Watu wengi waliokuwa wanawaunga mkono.Nasubiria mikutano wa Chadema nione nyomi waliokuwa wanalinga nayo enzi za akina Sillaa.
 
Watoto wa wakubwa wote wa zamani wamepata teuzi ispokua wao kwasababu hawana maadili.
Mtoto wa Sokoine
Mtoto wa AHM
Mtoto wa pinda
Mtoto wa Kikwete
Mtoto wa Makamba
Mtoto wa Nauye
Mtoto wa Nyerere
Mtoto wa Warioba etc
 
Back
Top Bottom