Nyankurungu2020
JF-Expert Member
- Oct 2, 2020
- 4,086
- 6,568
Nilikuwa maeneo ya Nzera jimboni kwa Msukuma uvuvi haramu umetamalaki. Makokoro na nyavu zilizopigwa marufuku maarufu kama Timba ndio zinatumika.
Nikaamua kuambaa ambaa mpaka mwambao wa ziwa wilaya Sengerema mwendo ni uleule.
Kumbe usimamizi wa sheria za nchi hutegemea na mkuu wa nchi aliepo.
Hali ni mbaya sana nyavu haramu zinaharibu mazalia ya Samaki na na hata kuua Samaki ambao hawajafikia kiwango cha kuvuliwa.