Hakuna fedhea na utumwa wa fikra kama mwaume mwenye familia kwenda kupiga magoti Kwa kiongozi WA kisiasa wakiamini NI Mungu.
Namna Watanzania wanavyomsujudia mwanadamu just Kwa Sababu ana...
Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa.
Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa.
Wewe umeacha kazi ya...
Uongozi wa awamu ya 5, uligubikwa na kila aina ya uovu, kuanzia kwenye mauaji, utekaji, utesaji, ubambikiaji watu kesi, ugandamizaji wa haki, demokrasia na haki za watu.
Watawala waliostahili...
Kwaheshima kubwa ,nawasalimu Watanzania wote habari za asubuhi!!!
Let me go direct to my point , hii nchi ilipoteza mwelekeo miaka mitano iliyopita, mambo yake yalikuwa hayatabiriki Sana hata...
Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
NB: Naambatanisha...
Poleni na mapambano wana JF,
Ngoja niende moja kwa moja kwenye mada kama ambavyo yajieleza hapo juu.
Siasa ni sayansi inayo hitaji maarifa makubwa sana kuliko sayansi zingine zote,kwa sababu...
Wananchi v/s Tozo!
Wanasiasa v/s Magufuli!
Ukiangalia hali halisi iliyoko mtaani nchini nzima,na ukalinganisha na wanachokiongea wanasiasa waandamizi kwa Pande zote za kisiasa nchini.
Ni wazi...
Muktadha ni mwanafunzi wa Chuo cha Serikali za Mitaa (LGTI), Hombolo, Dodoma, Lightness Shirima. Kitambulisho chake cha taifa kilizuiwa Hospitali ya Muhimbili-Mloganzila kwa sababu ya deni...
Taarifa na picha kutoka Ikungi zinaonyesha mabango na Bendera za CCM ndio zimesheheni huku zile za Chadema zikionekana kwa kificho hapa na pale
Tusubiri baada ya misa ya pili mkutano gani...
Hali ilipofika kwa sasa wabunge wa bunge la ccm lililopita bila kupingwa mambo sio mambo.
Humo ndani ni vikumbo tu. Hakuna Mbunge ana mhehimu mwenzake.
Mawaziri nao wanawona wabunge kama ni...
"Inasikitisha kuona Viongozi wa Serikali ambao wamepewa dhamana na wana CCM wanapuuza waliyoagizwa na Chama na badala yake wanaendekeza Rushwa, Ubinafsi na Unafiki Mambo ambayo yanalipeleka kubaya...
Chama hiki Ni Alama ya demokrasia duniani. Fikiria CUF, Prof Lipumba (PhD) ni Mwenyekiti tokea 1999 (2022-1999=miaka 23 yumo tu). Mboe nae daah, mtihani kweli kweli! Demokrasia kwa vyama vya...
Tundu Lissu amesema wakati anapigwa risasi alikuwa ndani ya gari yake V8 ya kisasa yenye " Kafridge" katikati ya Siti yake na ile ya Dereva.
Wakati anapigwa risasi alikuwa amerukia upande wa...
Bwana Mwigulu kadai ni CHADEMA wenyewe ndio wamepanga mauwJi ya Arusha kutafuta umaarufu wa kisiasa.
Amedai kuwa iweje mpiga video wa U tube achukue tukio zima na asishituke kama vile anachukua...
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya...
MNEC Dr. Msukuma amesema kufikisha miaka 46 kwa CCM haikuwa kazi rahisi kwani kuna wakati walikuwa hawavai sare za Chama.
Alipokuja Hayati Magufuli ndio heshima ya Chama ikapatikana na mimi pale...
Ni vema tukaangalia pande zote za shilingi
Na Wakulima wanalia kama Walaji au kwa sababu ya bei kubwa sana ya pembejeo?
Ni vema Watanzania tumwogope Mungu!
Clouds tv wamemuonyesha Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia akijiapiza kuwa CCM haitaachia Dola
Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe na Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu Wana maoni gani...
Wadau sasa ni Takribani Miaka 3 toka Baba Askofu Mh.Mbunge GWAJIMA akiwa ktk Viwanja vya Kawe wakati akiwahutubia Wananchi wa Kawe wakati wa Kampeni za Ubunge kuwa Endapo atachaguliwa kuwa Mbunge...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.