commonmwananchi
JF-Expert Member
- Mar 12, 2011
- 3,377
- 1,952
Wananchi v/s Tozo!
Wanasiasa v/s Magufuli!
Ukiangalia hali halisi iliyoko mtaani nchini nzima,na ukalinganisha na wanachokiongea wanasiasa waandamizi kwa Pande zote za kisiasa nchini.
Ni wazi kabisa kwamba wote wanaangalia zaidi Uchaguzi mkuu 2025.
Kuliko masahibu yanayowasibu wananchi kwa sasa.
Tunaiona CCM ikiacha sera na kuingia kwenye vita na wasiokuwepo!...
Badala ya kujikita kutatua matatizo yaliyopo nchini huko site!.
CCM hii iko busy kujitenga na CCM iliyopita!
Upinzani nao... badala ya kujikita kuikosoa serikali iliyopo madarakani, ili kutatua yanayoendelea!,
Nao wameunda ushirika wa kutafuta au kumkomoa yule wanayeamini aliwafanya kusambaratika mwaka 2020!
Imefikia hatua sasa,sio sera tena!
Upinzani wanataka kutumia hali ngumu ya mfumko wa bei,ili kuwaaminisha na kuwashawishi watanzania ili kuwasaidia kuipata katiba mpya.
Kwa kuwaaminisha kwamba Mfumko wa bei,unaletwa au kusababishwa na katiba iliyozeeeka!
Lakini agenda yao ya siri ni
Kwamba ikipatikana katiba mpya,itarahisisha safari yao ya kuisaka Ikulu.
Nasema hivyo kwa sababu,Duniani kote,kuba matatizo ya kiuchumi!ingawa yanatofautiana vyanzo vyake,kulingangana na nvhi moja kwenda nyingine.
Je! Ina maana katiba ya Dunia nzima imezeeka....kuanzia Uingereza,Ufaransa,Urusi,
Mexico na kule kwa Maduro?
Au hadi Kenya hapa jirani zetu?
Katiba ni takwa la kisiasa zaidi,na Mfumko wa bei ni takwa la usimamizi na utekelezaji mbaya wa sera madhubuti za kiuchumi.
Uchuni na Siasa ni vitu viwili tofauti,ila vinafanya kazi pamoja.Na pale wanasiasa wanapolazimisha kuendesha mambo kwa siasa bila taaluma kutumika katika maeneo husika!
Kinachokuja kutokea ni sawa na kilichopo Tanzania kwa sasa.
Sasa basi,sijui ni nini kinachoendelea,ila tunaona ghafla.....
CCM nao,wamepumbazwa na Mzimu wa kupambana na kaburi!
Bila kujua kwamba,kwa kitendo cha kuruhusu genge fulani ndani ya chama,kutumia muda mwingi kupambana na Legacy ya Magufuli.
Ndio CCM inazidi kupoteza Imani kwa wananchi mitaani na vijijini.
Kwa kumsema vibaya Magufuli nchini Tanzania,unakuwa umewathibitishia watanzania kwamba wewe ni Mwizi wa mali za Umma,Fisadi na pia watanzania wengi wanakuona kama ulishiriki uovu na sasa unajitahidi kujitakasa.
CCM hii sasa,itaendelea kuporomoka,na itabaki na kundi la wanafiki na wachumia tumbo,na itaelekea kujizika rasmi...kama sio 2025 basi haitavuka 2030!
Na pia Upinzani uliopo,hautaweza kuitimiza ndoto ya kuingia Ikulu,kama wataendelea kudhania kwamba wanawafurahisha watanzania kwa kumkejeli Magufuli.
Magufuli aliingia mioyoni na vichwani mwa watanzania wengi.
Ule Umati uliomlilia sio wa kubezwa,na bado upo mitaani ukilipishwa Tozo!
Wanasiasa wa Tanzania mnapaswa kujifunza alama za nyakati.
Magufuli hadhihakiwi na aliyemdhihaki akaacha kuangukia Pua.