Ile safari ya Wanakawe kwenda Marekani waliyohaidiwa na Askofu Gwajima ni kanyaboya

Sir robby

JF-Expert Member
Jun 22, 2022
2,400
4,074
Wadau sasa ni Takribani Miaka 3 toka Baba Askofu Mh.Mbunge GWAJIMA akiwa ktk Viwanja vya Kawe wakati akiwahutubia Wananchi wa Kawe wakati wa Kampeni za Ubunge kuwa Endapo atachaguliwa kuwa Mbunge LAZIMA Wapiga KURA wa Kawe Awapeleke MAREKANI.

Kama haitoshi na VIJANA wote wanaojihusisha na UVUVI atawapatia Boti za KISASA za UVUVI
Sasa ni Miaka 3 hakuna ALICHOTEKELEZA ukizingatia Wananchi kwa Upande wao Wamempa UBUNGE licha ya Ubunge wenyewe ulikuwa wa KUTEULIWA na Magufuli.

Kinachosikitisha zaidi ni Kitendo cha KUWADANGANYA Wananchi Ukichukulia Mh.GWAJIMA licha ya kuwa Mbunge ni ASKOFU mtu ambaye HAFAI Kusema UONGO.

Ushauri kwa ASKOFU Mh.Mbunge arudi kwenye Ule ule Uwanja alipotolea hizo AHADI awaambie Wananchi wa Kawe kuwa zile AHADI Zilikuwa ni "AHADI KANYABOYA" kama Alivyofanya Mwendazake Kuhusu zile TRIL 360 za Barrick kuwa zilikuwa ni "KANYABOYA".

Screenshot_20210729-122400_Instagram.jpg
1664915659087.jpg
 
View attachment 2506457View attachment 2506458
Inahitaji akili ya mwendawazimu kumuamini huyu changono
 
Attachments

  • 5230227-0365eda140b6e4cf23eeff2f653ed690.mp4
    432 KB
2020 kulikua hakuna uchaguzi, hawa so called wabunge waliteuliwa SIO kuchaguliwa kutoka magogoni, kumbuka kisa cha mpwa wa no 1 aliyepata kura za ccm za maoni zaidi ya tupelo gwajima, no 1 alimpiga chini (hii inaonyesha ni kiasi gani Chairman/person)wa ccm alivyo very powerful kama nusu Mungu
 
Back
Top Bottom