Askofu Gwajima Biblia imeandika wazi ya Mungu mpe Mungu na Kaisairi muachie kaisari. Katiba mpya itashusha bei ya vyakula kwa kuwajibisha viongozi

Muuza Kangala

JF-Expert Member
Jul 21, 2021
1,125
4,163
Wewe unajua wazi kabisa. Tukipata katiba mpya viongozi wasiowajibika watawajibishwa.

Mawaziri hawatakuwa wateule. Bali wataajiriwa wewe na Mwigulu tutawatimua kama mbwa.

Wewe umeacha kazi ya Mungu umekuwa tapeli wa kisiasa. Wananchi jimboni kwako watakutimua kama mbwa hata kabla ya uchaguzi

Ndio maana tunataka katiba mpya. Sio kwamba katiba mpya italima chakula. Bali itaondoa viongozi wasiosimamia kazi zao kama wewe na Mwigulu
 
Back
Top Bottom