Ni kama Spika Tulia ameyaweka njia panda Maridhiano ya Chadema na CCM, Mbowe ataunguruma Ikungi kesho!

Kauli ya Tulia haijakaa sawa Politically. Ina ushenzi fulani na kulewa ovyo Madaraka.
Sijui kwanini hawa viongozi wanataka kumrudisha nyuma Rais katika kuirejesha nchi kwa mstari. Ila kuna kitu naki note, background ya ufukara ni mbaya sana, watu wakipata wanakuwa na visasi ndani mwao wakikumbuka walikotoka (bitterness). Huyo wa juzi aliyetutukana na huyu wa leo anayejimwambafai ukiwachunguza unagundua wana background zinazofananafanana....Ee Mungu wape hekima na busara viongozi wajue kutoka na kuingia mbele ya wanaowaongoza
 
Uko sahihi. Akina Tulia wamekulia kwa kula Ndizi na Maparachichi huko Rungwe. Sasa kapata anajiona yuko kevel nyingine ya Dunia. Pambafu kabisa
 
Clouds tv wamemuonyesha Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia akijiapiza kuwa CCM haitaachia Dola

Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe na Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu Wana maoni gani katika hili?

Ni kesho pale Ikungi Singida, Uwanja wa Stendi mpya.

Mlale Unono!
Achana na huyo mfadhili wake hayupo ngoja tusubirie 2025 Mungu akituwezesha kufika
 
Clouds tv wamemuonyesha Spika wa Bunge la JMT Dr Tulia akijiapiza kuwa CCM haitaachia Dola

Mwenyekiti wa Chadema mh Freeman Mbowe na Makamu mwenyekiti mh Tundu Antipas Lisu Wana maoni gani katika hili?

Ni kesho pale Ikungi Singida, Uwanja wa Stendi mpya.

Mlale Unono!
Kwani waliridhiana kuachiana madaraka ?
 
Back
Top Bottom