Tundu Lissu awasalimia wananchi Stendi kuu ya mabasi Msamvu Morogoro leo, akiwa njiani kuelekea kuonyesha makovu ya risasi ndugu zake Ikungi

Tozo

Member
Aug 23, 2021
76
154
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu 2020 alisimama kwa muda na kusalimiana na mamia ya wafanyabiashara eneo la Stendi kuu ya Msamvu. Akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi bila ya viongozi wenzake wa kitaifa aliwaambia wananchi wa Morogoro kuwa naelekea nyumbani Ikungi kuwaonesha makovu ya risasi na kunywa maziwa nyumbani Ikungi. Aliwaahidi kurudi na kufanya ziara mkoani humo. Aidha mgonbea ubunge wa Morogoro mjini wa uchaguzi wa mwaka 2020 na mtangazaji wa zamani wa ITV Devota Minja ndiye aliyekuwa mwrnyeji wake. Picha zitafuata.
 
Lisu ameendelea kudai kwamba hayati Magufuli aliagiza msaliti hasitahili kuishi na baada ya muda mfupi Lisu akashambuliwa kwa risasi Dodoma, je kumbe Lisu alikuwa anajijua ni msaliti wa nchi?, maana Magufuli hakutaja jina la mtu alitaja msaliti.
Kwa nini Clouds FM hawakumuuliza dereva wake amemficha wapi?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza sababu za Acacia kufutwa Tanzania na hawakushitaki MIGA?

Kwa nini Clouds hawakumuuliza kama alipigwa na Magufuli na sasa hivi ni miaka miwili Magufuli hayupo kwa nini uchunguzi haufanyiki sasa hivi?

Nb: watoto wa Mbowe na Lisu wote ni raia wa Marekani.
 
Natafuta fedha ya kutosha niingie pia Singidani. Wale kuku watamu wa kienyeji na warembo wa Singida inabidi baada ya mkutano wa Ikungi uingie mjini ukiwa na kibunda. Chadema mademu wao wakali ni kutoka Singida na Manyara kwa Dr. Slaa.
Safari ya Katiba bado sana, Chadema wanajua haya haya . Mwenyekiti wao anawaita wanachama jinsia ya kike mademu.
 
Akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi bila ya viongozi wenzake wa kitaifa aliwaambia wananchi wa Morogoro kuwa naelekea nyumbani Ikungi kuwaonesha makovu ya risasi na kunywa maziwa nyumbani Ikungi.
Polisi heko sana kwenu.

Tunapenda Nchi ya uwajibikaji kama hivi.

Kongole kwa IGp kongole kwa Rais.
 
Natafuta fedha ya kutosha niingie pia Singidani. Wale kuku watamu wa kienyeji na warembo wa Singida inabidi baada ya mkutano wa Ikungi uingie mjini ukiwa na kibunda. Chadema mademu wao wakali ni kutoka Singida na Manyara kwa Dr. Slaa.
😅😅😅😅we jamaa unapenda mashangazi wa chadema. Kwanza ni wasafiiiii
 
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu 2020 alisimama kwa muda na kusalimiana na mamia ya wafanyabiashara eneo la Stendi kuu ya Msamvu. Akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi bila ya viongozi wenzake wa kitaifa aliwaambia wananchi wa Morogoro kuwa naelekea nyumbani Ikungi kuwaonesha makovu ya risasi na kunywa maziwa nyumbani Ikungi. Aliwaahidi kurudi na kufanya ziara mkoani humo. Aidha mgonbea ubunge wa Morogoro mjini wa uchaguzi wa mwaka 2020 na mtangazaji wa zamani wa ITV Devota Minja ndiye aliyekuwa mwrnyeji wake. Picha zitafuata.
Tuongeze ni picha tupate utamu.
 
Tangu lissu arudi kuna lipi jipya!
 
Mleta mada soon utakufa, maana Lisu huwa hadhihakiwi.

Magufuli alimpiga risasi Lisu hakufa akafa Magufuli.

Ndugai akiwa spika alimdhulumu Lisu haki zake hivi sasa Ndugai anaishi kama digidigi na siyo spika tena
Hayo ni maneno yake mwenyewe Mkuu. Mimi na Lissu damu damu, Nilikuwa kwenye Shabiby nimelipa 30,000 Dar - Dodoma nilipoona anaongea nlimwambia dereva anishushe nimsikize mwamba. Alihutubia kama dk kama 15 tu. Nikalipa tena 15,000 ABC kuendelea na safari Dodoma.
 
Wananchi wa Morogoro hususani wafanyabiashara wa Morogoro eneo la Msamvu leo waliungana na wanachadema kupokea salamu za Tundu Lissu. Makamu wa mwenyekiti Chadema na Mgonbea Urasi wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwenye uchaguzi Mkuu 2020 alisimama kwa muda na kusalimiana na mamia ya wafanyabiashara eneo la Stendi kuu ya Msamvu. Akiwa chini ya ulinzi mkali wa polisi bila ya viongozi wenzake wa kitaifa aliwaambia wananchi wa Morogoro kuwa naelekea nyumbani Ikungi kuwaonesha makovu ya risasi na kunywa maziwa nyumbani Ikungi. Aliwaahidi kurudi na kufanya ziara mkoani humo. Aidha mgonbea ubunge wa Morogoro mjini wa uchaguzi wa mwaka 2020 na mtangazaji wa zamani wa ITV Devota Minja ndiye aliyekuwa mwrnyeji wake. Picha zitafuata.
Huyu mtu mjinga tu. Nakumbuka alipopata fahamu baada ya risasi alisema kupigwa tisasi itamsaidia kua rais. Hii ndio sababu haishi kuzungumzia kupigwa bunduki na wala haimsadii kitu. Naona amebakisha kuvua nguo kwenye vikao kuonesha makovu ya risasi😆😂🤣
 
Umeandika kichwa Cha hbr kipumbavu sana

Sent from my Infinix X650 using JamiiForums mobile app
 
Huyu mtu mjinga tu. Nakumbuka alipopata fahamu baada ya risasi alisema kupigwa tisasi itamsaidia kua rais. Hii ndio sababu haishi kuzungumzia kupigwa bunduki na wala haimsadii kitu. Naona amebakisha kuvua nguo kwenye vikao kuonesha makovu ya risasi😆😂🤣
Ulimpiga wewe risasi ? Mbona unakasirika sana ? Ulikosea ?
 
Safari ya Katiba bado sana, Chadema wanajua haya haya . Mwenyekiti wao anawaita wanachama jinsia ya kike mademu.
Wakati Nyerere anadai uhuru watu kama nyie walikuwepo ila wale Nyerere aliwapuuza kwa vile hawakuwa na elimu.
 
Back
Top Bottom