Wanabodi,
Kila nipatapo fursa, sipendi kabisa kukosa kipindi cha Maswali na Majibu ya Papo kwa Papo kwa Waziri Mkuu Bungeni, ambapo Waziri Mkuu, Mhe. Mizengo, Kayanza, Peter Pinda, hujibu...
Wakati akiongea na Clouds 360,kuhusu uchakavu wa mtaa wake kule Tegeta!
Amekaririwa akisema kwamba.
"Wananchi mtaani wanashindwa kununua hata chapati ya shilingi 200/=@!"
Huu ni ushahidi kwamba...
WanaJf,
Salaam!
Naenda moja kwa moja kwenye agenda.
(a). 1995 Mbunge wa wakati huo RUHINDA alinukuliwa akisema "Hata mkininyima kura sitavaa kobazi."
(b). 2000 - 2005 mbunge Magayane akanukuliwa...
Kuna mambo yanafikilisha sana katika nchi za Kiafrika.
Tunaendelea kuangalia kwa makini namna ambavyo kuna uchochoro wa kuliwa kwa mali za umma na watu binafsi unavyoendelea kutengenezwa...
Katibu wa Itikadi na Uenezi Shaka Hamdu Shaka amesema hakuna shaka Rais Samia Suluhu Hassan ataendelea kuwavusha watanzania hadi 2030 kutoka na uwezo mkubwa uliounesha katika uongozi na utendaji...
Wafanyabiasha ni watu mhumu katika kukuza uchumi wa taifa .lakini pia ni watu hatari wakitaka kukuhujumu kama hutawasikikiza ,kuwashirikisha mipango ya maendeleo .mfano kama Kuna matajiri Wana...
Watu Wana agenda Yao ww unaingia kichwa kichwa kusaport huku hunufaiki na chochote
Agenda ya kumchafua magufuri ww unaingia kichwa kichwa kuunga mkono hoja unajua watu wamelipwa shi ngap!?
Watu...
Tukubaliane tu nchi yetu imeharibiwa na kitu kinaitwa demoghasia na kujipaka matope kwa wageni wasio na muda na sisi alafu sisi tuna muda nao istoshe tunawatembelea kabisa mpaka nchini kwao...
Hivi ni ujinga [kwa maana halisi ya neno ‘ujinga’]?
Uoga?
Kuwa na ajenda ya siri?
Kuwekewa masharti ya mahojiano?
Kutokujiandaa kikamilifu?
Au ni nini hasa?
Nimeyaangalia mazungumzo ya Tundu...
Qn 1: Ni miradi ipi inayoendeshwa kwa tozo na ipi ni uwekezaji, ufadhili au mkopo?🤔
Qn2: Hapo kabla inasemekana nchi ilikuwa imefungwa (utawala wa hayati JPM) lakini bado hakukuwa na tozo na...
Mgeni rasmi katika Sherehe za miaka 46 ya CCM Jijini Mwanza mNEC Askofu Gwajima amesema hayati Magufuli alikuwa ni Mzalendo namba 1 na Jembe yeye ndiye alimchagua Rais Samia anayetuongoza Vizuri...
Kelele kibao na kejeli.
Eti wewe ni mjuvi wa uchumi? Mbona umeshindwa kusimamia fiscal policy na kudhibiti bei ya maharagwe?
Eti tujadili uganga? Wewe ndio una amini uchawi?
Pesa za uviko...
CCM inasema ina wanachama zaidi ya milioni kumi (10,000,000) nchi nzima. Kati ya hayo mamilioni ya wanachama yupo ambaye anaona Samia Suluhu hatoshi kwenye Urais, hivyo mwaka 2025 atachukua fomu...
Kwanini tunakuwa waongo lakini, viongozi mmekuwa mkitoa kauli na maelekezo Kwa mihemko ili msifiwe na wananchi. Huyu mtu wa LINDI kila kauli huwa inakuja opposite yani imekuwa Kawaida kudanganya...
Majibu ya juzi dhidi ya mpina yamenifanya nimwondoe Mwigulu Nchemba kwenye ajenda ya urais 2030, hafai ni Magufuli mwingine, tena radical sana
Aendelee kuwa chini ya watu wengine
Leo Hii viongozi wanazidi kujipaka matope kutaka ushirikiano Kwa nguvu na nchi za ughaibuni , wamesahau Maliasili tulizo nazo zinazidi kutoweka kupitia wao huku wakiita ni uwekezaji,
Sasa...
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya.
Kwa nchi inayoendeshwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.