Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Leo Hii viongozi wanazidi kujipaka matope kutaka ushirikiano Kwa nguvu na nchi za ughaibuni , wamesahau Maliasili tulizo nazo zinazidi kutoweka kupitia wao huku wakiita ni uwekezaji, Sasa...
1 Reactions
7 Replies
551 Views
Kwanza nieleze masikitiko yangu makubwa Sana kwa jinsi nilivyomsikia Spika Tulia Ackson akihamasisha machafuko, wakati akihutubia Umoja wa vijana wa CCM huko jijini Mbeya. Kwa nchi inayoendeshwa...
17 Reactions
67 Replies
6K Views
Hello! Rais Dr.Samia Yuko Nchini Burundi Kuhudhuria Mkutano wa Wakuu wa EAC. Hapa amepokelewa tayari Nchini Burundi.Kila la Kheri.
3 Reactions
16 Replies
1K Views
Naibu Spika alikuwa anaongea katika mkutano wa CCM leo Upanga. Anasema Bima ya Afya kwa wote kwanza italenga kuwasaidia wale ambao ni vulnerable. Ulikuwa mkutano ambao ulihudhuriwa pia na Zuberi...
1 Reactions
3 Replies
610 Views
mNEC Askofu Gwajima amesema kuna Kiongozi wa Upinzani alisema Bei ya Nyama na Maharage ziko Sawa kwa sababu Rais Samia anachelewesha Katiba mpya, hii siyo kweli Kenya Wana Katiba mpya lakini Bei...
2 Reactions
7 Replies
809 Views
Mbunge wa Kisesa mh Luhaga Mpina amependekeza Mawaziri wapatikane kwa njia ya Ushindani badala ya Uteuzi kama ilivyo sasa Mpina amesema hatua Hiyo itapelekea kupata Mawaziri wenye viwango siyo...
10 Reactions
45 Replies
4K Views
Serikali yaeleza sababu kuu 4 za kupanda kwa bei ya chakula nchini :- 1. Athari za janga la Uviko-19 2. Athari za vita ya Ukraine 3. Mabadiliko ya tabia nchi 4. Kupanda kwa bei ya mafuta...
1 Reactions
11 Replies
1K Views
Ndugu zangu Watanzania. Salaam za upendo na shukrani kwenu wote. Leo ni mwezi wa tatu tangu kufanyika kwa jaribio la kuniua la tarehe 7 September. Tangu siku hiyo, nimetembelewa na mamia ya...
121 Reactions
371 Replies
42K Views
Leo nimewaza sana baadhi ya matukio ya serikali ya awamu ya 5 baada ya kumsikia mhanga wa shambulio la kupigwa risasi wakati wa utawala wa Mwendazake. Jambo nililolikumbuka ni hili la tril.360 za...
8 Reactions
39 Replies
2K Views
Nimeyazungumzia haya mashirika mawili yanayohusika na uendelezaji wa mafuta na gesi Tanzania. Tunaomba tubadilishie wakurugenzi wa hayo mashirika tuone mabadiliko katika sekta ya mafuta na gesi...
1 Reactions
11 Replies
2K Views
Wadau habari. Huku kwetu Kilimanjaro tangu kuanzishwa kwa vyama vingi nchini zaidi ya miaka 30 iliyopita tulikuwa tunachagua viongozi wa vyama vya upinzani hasa CHDEMA kutuongoza lakini kwenye...
-1 Reactions
31 Replies
2K Views
Na Mwandishi wetu Z'bar Chama Cha Mapinduzi (CCM) kinajivunia mabadiliko makubwa yaliyofikiwa Zanzibar katika kipindi cha miaka 59 ya Mapinduzi Matukufu ambayo yamewafanya wananchi kujiamini na...
7 Reactions
61 Replies
3K Views
Uchumi wa kwenye makaratasi uliosomea unaitesha serikali na wananchi kwa ujumla , bei za vyakula zimepaa mchele kila kona ya nchi haukamatiki hata bei za bidhaa nyingine ni imekuwa anasa kwa...
1 Reactions
6 Replies
593 Views
Kwa mda sasa suala la Jaji Biswalo Mganga limekuwa likiibuka , kuzimika na kuibuka tena. Imefika wakati sasa anayetaka kuua nyoka asiishie kupiga kelele nyoka nyoka badala ya kuchukua fimbo na...
9 Reactions
253 Replies
12K Views
Mara baada ya Waziri Mkuu Msitaafu Edward Lowassa kujiunga na kuinunua CHADEMA ili awe mgombea urais mwaka 2015 , kitu cha kwanza kabisa alipokabidhiwa tu chama alipiga marufuku siasa za...
4 Reactions
14 Replies
1K Views
Rais John Magufuli alitekeleza sera kadhaa za viwanda zilizolenga kukuza viwanda vya ndani na kupunguza utegemezi wa bidhaa kutoka nje. Baadhi ya sera kuu ni pamoja na: Marufuku ya uagizaji wa...
6 Reactions
16 Replies
1K Views
Hili amelisema leo katika Uzinduzi wa Haki Jinai huko Dodoma , kwamba baadhi ya watu wa kitengo cha Madawa ya kulevya wanaweka mzigo kwa mtu waliyepanga kumshughulikia , na baada ya muda mfupi...
37 Reactions
170 Replies
8K Views
Nipo zangu home nawatazama wanaccm live from mwanza wakiadhimisha miaka 46 za kuzaliwa CCM kiukweli watu wamejaa sio kama ule uzinduzi uchwara wa chadema. CCM imekuwa na nguvu sana mwanza na...
1 Reactions
3 Replies
519 Views
Ujumbe mdogo tu wa Joti umewatoa nyoka wote pangoni. Nimewaona wanavyompopoa Huko twita, huyo ni Joti tu CCM ni dude kubwa sana, Ufipa yote inapambana na Joti. Sasa huyo ni Joti vipi CCM wakiamua...
11 Reactions
51 Replies
5K Views
Back
Top Bottom