Prof. Lipumba (PhD), Mwenyekiti CUF, 1999-2022!

Valencia_UPV

JF-Expert Member
Mar 31, 2016
6,223
7,409
Hongera sana Full Professor in Econometrics Ibrahim Lipumba (PhD) kwa kuongoza chama kwa Miaka 23. Hili ni la kupigiwa mfano duniani kote. Hakika tuna mengi ya kujifunza kwako.
NB: Naambatanisha na tasnifu (PhD Thesis) yake ya shahada ya Uzamivu.
 
Tangu 1995 hapajawahi tokea mwanasiasa/mgombea mwenye sera za kiume na konki Kama lipumba,ndiyo maana kwenye kampeni huwa hawaweki midahalo wanajua watampa mileage,tangu awaburuze 1995 kwenye mdahalo wa DW,hawataki tena
 
Lipumba kibaraka wa mwendazake na mkabila mkabila pia ni mdini mdini.
Akiwa muislam kwako atakua mdini tu,kwa kuwa uoni wako umevikwa udini,lipumba kaanza siasa 1995,magu akiwa hata kuota uwaziri haoti,huo ukabila lipumba umeuona wapi!?..vipi kuhusu hicho chama unachopigia chapuo huo ukabila na udini,si upo wazi kama mapaja ya changudoa!?
 
Back
Top Bottom