Tundu Lissu shituka, harakati zako kuiangamiza CHADEMA

Kulwa Jilala

JF-Expert Member
Sep 6, 2022
3,510
7,755
Habari .

Inasikitisha sana ukifuatilia page na post mbalimbali za Chadema wanavyotukanwa kwenye comments na wachangiaji.

Kuna group linaitwa Chadema in blood kule facebook yani kila wanachopost ni kutukanwa tu na watu, huko instagram ndiyo balaa kabisa, njoo Jamii forums hali ni hiyo hiyo!

Nimeangalia comments za kwenye hotuba ya Mbowe aliyoitoa akisema vibaya utawala wa hayati Magufuli, kwa kweli ni huzuni raia walivyomtukana Mbowe. Swali la kujiuliza Chadema imefikaje huku?

Enzi za Dkt. Slaa ulikuwa unavaa gwanda la Chadema kwa maringo yote ,leo tuvae kwa aibu ya kujifichaficha?
Je Tundu Lisu ameharibu image ya chama baada ya kuanza kutetea mabeberu?

Je, ni Mbowe ameharibu image ya chama baada ya kuwa anaangushwa na konyagi anasingizia amepigwa na wasiojulikana?, au ule uongo wake wa kuibia familia inapompeleka mahakamani anasingizia amefungiwa akaunti zake na serikali?

Kiukweli inahitajika tathimini ya haraka sana kuikoa na kuirudisha Chadema kwa wananchi ili waiamini tena kama zamani.
 
Umeandika mwenyewe, au umeletewa kwa flash hapo ofisini, hivyo kazi yako ni kucopy na kupaste tu?
 
Umeandika mwenyewe, au umeletewa kwa flash hapo ofisini, hivyo kazi yako ni kucopy na kupaste tu?
Kiroboto hichi.

Anajisahau yeye (TINDO)ndio bingwa wa kucopy na kupaste. Yaani huwa anatembea na kabrasha kwenye matoroli kama Tindo Lissu. Halafu anamsingizia Mleta mada.
What a Sadist
 
Back
Top Bottom