Tundu Lissu: Wakati debe la Mahindi ya msaada ni Tsh. 15,900 Serikali imenunua magari ya Mawaziri kwa Tsh 563 bilioni

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,591
141,397
Tundu Lisu amesema Katiba ya JMT inafanya kuwa nusu mungu yaani Alfa na Omega.

Lissu anasema kwa madaraka makubwa ya Rais ndio anapanga Matumizi Yote ya Serikali na hata Mei mosi Wafanyakazi huitumia kumuomba awaongeze mishahara.

Kwa mfano Ikungi debe la Mahindi ni tsh 15,900 lakini Serikal umetumia zaidi ya tsh 563 bil kununua magari ya kifahari ya Mawaziri na Wakuu wa mikoa, amesema Lissu.

Muarobaini wa haya yote ni Katiba Mpya amesisitiza.
 
Tunapenda kuandika KATIBA mpya,

Msafara wa Rais usizidi magari 4, tofauti na sasa magari zaidi ya 100.

Mawaziri na wabunge wanunue magari Yao wenyewe na wajiwekee mafuta Kwa pesa zao wenyewe.
 
Back
Top Bottom