Upinzani ujikite kutafuta viti vya ubunge na siyo kiti cha urais maana hicho ni cha CCM milele

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,211
9,642
Ndugu zangu watanzania,

Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani, lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima , Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio Wala mzaha,Ni kiti ambacho ukisikia fulani kapitishwa kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM lazima ujuwe kuwa huyo ndio Rais wako na mkuu wako wa nchi,hata majirani na nchi mbalimbali lazima zianze kujenga urafiki naye kwa kuwa zinatambua kuwa ndiye Rais ajaye wa Tanzania.

Vita ya Urais IPO ndani ya CCM tu katika kumpata mshindi lakini baada ya hapo anayekuwa amepitishwa na vikao vya CCM huyo ndio Rais wa nchi hata asipopiga kampeni au akiamua kusimama Dar es salaam na kuhutubia kwa njia ya TV siku ya mwisho ya kampeni lakini mwisho wa siku lazima atapita kwa kishindo na kuzoa Kura ya kila mtanzania mpenda amani na maendeleo ya Taifa letu,Ndio sababu ya kuona nchi nzima Bara Zima la Afrika na Dunia nzima huwa inaelekeza macho yake katika viunga vya Dodoma kunakofanyika vikao vya maamuzi,

Ni mahali ambapo ulinzi wake Ni mkubwa ambao hata sisiminzi hawezi kuifikia meza kuu,Ni mahali ambapo watu wote na Dunia yote hutambua kuwa Rais wa nchi atatokea hapo,Ni mahali Ambapo vyombo vya ulinzi na usalama hujipanga kisawa sawa,Ni mahali ambapo hata upinzani huelekeza macho na masikio yao hapo kwa kuwa hata wao Wanajuwa na wanafahamu kuwa atokaye kupitishwa hapo ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ajaye,hivyo huanza kujifikiria namna ya kuishi Naye kisiasa.

Hii Ni kutokana na miziz na Imani kubwa iliyojijengea CCM kwa watanzania, hii Ni kutokana na mfumo imara uliopo ndani ya CCM,Hii Ni kutokana pia na uchapa kazi wa CCm katika kuwatumikia watanzania,Historia ya CCM ndani ya nchi hii maana Tanzania ndio CCM yenyewe na CCM ndio Tanzania yenyewe utake usitake,ndio maana hata ukiingalia meza kuu ya CCM ikiwa imeketi Dodoma na wazee wake wanaokuwa wanaangalia kufuatilia na kushiriki katika vikao hivyo vizito kiukweli inatetemesha, Ni nzito, iliyo jaa majasiri,mahodari na majemedari walioiva kisawasawa na waliopitia mafunzo ya kijeshi na kijasusi na waliojaa uzalendo wa Hali ya juu katika vifua vyao na ambao hawana mchezo Wala utani linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi yetu,

Ndio sababu huwa kunakuwa na umakini na utulivu wa Hali ya juu Sana huku nyaraka mbalimbali za kijasusi zikiendelea kuchakatwa na kupitiwa juu ya Nani atatuvusha salama watanzania,Ni mahali ambapo hata sura za viongozi wetu wa CCm Hadi wazee wetu ukizitazama huwa zimebadilika na kuvaa utaifa na utanzania,huwa Hakuna Cha urafiki Wala Nini mbele ya maslahi ya Taifa.

Ni mahali ambapo huwezi ukatumia fedha zako kuwanunua wajumbe ili upitishwe kugombea Urais,Ni mahali ambapo kujuwana na fulani hakuwezi kukusaidia kupata nafasi,hayo ya Fedha unaweza ukafanikiwa huko kwenye uenyekiti wa mitaa au udiwani na ubunge lakini siyo katika nafasi hii nyeti kwa Taifa letu,Ni nafasi ambayo ndio moyo wa Taifa letu hivyo kuuwa moyo Ni kuliua Taifa letu Jambo ambalo hakuna aliyetayari kufanya Jambo Hilo.

Lakini pia Sera na ajenda Bora ilizonazo CCM,Dira na muelekeo unaoeleweka Ndio imekuwa nguzo na ngao ya CCM Kuendelea kuwepo madarakani mpaka leo hii ,usikivu wa viongozi wa CCm na serikali Yake imekuwa ngao ya kuilinda ccm maana Ni watanzania ndio siku zote wamekuwa Askari wanaokwenda msitari wa mbele kuilinda kuipigania na kuitetea CCM ambayo imeonyesha umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu, watanzania ndio wakati wote wamekuwa wakimiminika vituoni kwenda kuipigia Kura CCM ili ipite,Ndio maana huwezi ukawashawishi watanzania kuipinga serikali yao maana wao ndio huiweka madarakani kila uchaguzi ufikapo,ndio maana hata Sasa wanasubiri kwa hamu uchaguzi ufike ili waipigie CCM Kura za Ndio kutokana na kufanya kazi za kutukuka katika kugusa maisha yao na kuleta Tabasamu Katika Mioyo yao.

Ilani ya CCM katika kila uchaguzi imekuwa Ni Bora Sana kwa kuandaliwa na jopo la wataalamu kutoka fani zote na kufanya utafiti wa kisayansi na Kuja na mambo yanayogusa maisha ya watanzania na kujibu kero na changamoto zao kulingana na wakati husika,hii ndio sababu ya CCM kuonekana kipya kila uchaguzi unapowadia kwa kuleta matumaini mapya na Nuru katika kila kundi hapa nchini ukilinganisha na vyama vingine ambavyo hata ilani tu ya uchaguzi huwa haieleweki IPO wapi zaidi ya kwenda na mdundo wa mgombea wao anayekuwa anapuyanga na kuongea chochote kinachomjia akilini na mdomoni mwake kwa wakati huo, Yaani mtu ndio huwa ilani ya upinzani .

Ndio maana navishauri vyama vya upinzani vijikite katika nafasi za ubunge kushuka chini ili viende bungeni kujifunza na kupata uzoefu wa kujiongoza utakovisaidia kujiendesha kitaasisi tofauti na Sasa ambapo vinajiendesha Kama Mali ya mtu binafsi au vikundi vya kukopa na kukopeshana fedha mitaani ndio maana unaona Mbowe akilalamika kuwa amepoteza mabillioni kwenye chadema.

Nje na hapo ni kujipotezea muda tu kutafuta na kushindana na CCM kutafuta Urais ,Nasema Ni kujidanganya tu maana hata watanzania wanajuwa Hilo kuwa Urais utabaki kuwa wa ccm tu jua liwake mvua inyeshe kwa kuwa CCM ndio imeonyesha umadhubuti na uimara wa kuliongoza Taifa letu Tofauti na hao wengine wanaoshindwa kupata hata mbadala wa Mwenyekiti.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Ushauri mzuri lakini umepotoka kwa sababu Chaguzi za kitaifa 2024 na 2025 nafasi ya ushindi ni kwa vyama vya upinzani iwapo viongozi wake watatumia mikutano ya hadhara kuelezea uwezo wa Sera za vyama vyao kuleta mabadiliko Kijamii, Kisiasa na Kiuchumi. Mtindo wa kauli za Viongozi hao za chuki na tuhuma dhidi ya utawala kuingia Ikulu itakuwa ndoto kwa vyama vya siasa
 
Ndugu zangu watanzania,

Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani,lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima ,Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio Wala mzaha,Ni kiti ambacho ukisikia fulani kapitishwa kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM lazima ujuwe kuwa huyo ndio Rais wako na mkuu wako wa nchi,hata majirani na nchi mbalimbali lazima zianze kujenga urafiki naye kwa kuwa zinatambua kuwa ndiye Rais ajaye wa Tanzania.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Naunga mkono hoja, japo utatukanwa sana kwa kauli hii, huu ndio ukweli wenyewe!, ukweli usemwe!.
Nilipo sema humu JF, Je, CCM Itatawala Milele Au? nikaja kurudia Kupata maendeleo ya kweli, Watanzania ni lazima tujifunze kuukubali ukweli!. Hili la CCM kutawala milele ni kweli!. na ushauri kama huu pia niliwapa wapinzani Kama Upinzani unataka mafaniko ya kweli iachane na 2025 lengo liwe 2030
P
 
Ndugu zangu watanzania,

Huo ndio ukweli wenyewe japo Ni mchungu na wakuudhi au kukasirisha au kukera au kuzichafua nyoyo za wapinzani,lakini ndio ukweli wenyewe wanaopaswa waujuwe na kuukubali tu,kiti Cha Urais wa nchi hii Ni Cha CCM Daima ,Ni kiti kisicho jaribiwa Wala kufanyiwa majaribio Wala mzaha,Ni kiti ambacho ukisikia fulani kapitishwa kugombea Urais kupitia tiketi ya CCM lazima ujuwe kuwa huyo ndio Rais wako na mkuu wako wa nchi,hata majirani na nchi mbalimbali lazima zianze kujenga urafiki naye kwa kuwa zinatambua kuwa ndiye Rais ajaye wa Tanzania.

Vita ya Urais IPO ndani ya CCM tu katika kumpata mshindi lakini baada ya hapo anayekuwa amepitishwa na vikao vya CCM huyo ndio Rais wa nchi hata asipopiga kampeni au akiamua kusimama Dar es salaam na kuhutubia kwa njia ya TV siku ya mwisho ya kampeni lakini mwisho wa siku lazima atapita kwa kishindo na kuzoa Kura ya kila mtanzania mpenda amani na maendeleo ya Taifa letu,Ndio sababu ya kuona nchi nzima Bara Zima la Afrika na Dunia nzima huwa inaelekeza macho yake katika viunga vya Dodoma kunakofanyika vikao vya maamuzi,

Ni mahali ambapo ulinzi wake Ni mkubwa ambao hata sisiminzi hawezi kuifikia meza kuu,Ni mahali ambapo watu wote na Dunia yote hutambua kuwa Rais wa nchi atatokea hapo,Ni mahali Ambapo vyombo vya ulinzi na usalama hujipanga kisawa sawa,Ni mahali ambapo hata upinzani huelekeza macho na masikio yao hapo kwa kuwa hata wao Wanajuwa na wanafahamu kuwa atokaye kupitishwa hapo ndiye Amiri Jeshi mkuu wa majeshi ya ulinzi na usalama ajaye,hivyo huanza kujifikiria namna ya kuishi Naye kisiasa.

Hii Ni kutokana na miziz na Imani kubwa iliyojijengea CCM kwa watanzania, hii Ni kutokana na mfumo imara uliopo ndani ya CCM,Hii Ni kutokana pia na uchapa kazi wa CCm katika kuwatumikia watanzania,Historia ya CCM ndani ya nchi hii maana Tanzania ndio CCM yenyewe na CCM ndio Tanzania yenyewe utake usitake,ndio maana hata ukiingalia meza kuu ya CCM ikiwa imeketi Dodoma na wazee wake wanaokuwa wanaangalia kufuatilia na kushiriki katika vikao hivyo vizito kiukweli inatetemesha ,Ni nzito, iliyo jaa majasiri,mahodari na majemedari walioiva kisawasawa na waliopitia mafunzo ya kijeshi na kijasusi na waliojaa uzalendo wa Hali ya juu katika vifua vyao na ambao hawana mchezo Wala utani linapokuja suala la maslahi mapana ya nchi yetu,

Ndio sababu huwa kunakuwa na umakini na utulivu wa Hali ya juu Sana huku nyaraka mbalimbali za kijasusi zikiendelea kuchakatwa na kupitiwa juu ya Nani atatuvusha salama watanzania,Ni mahali ambapo hata sura za viongozi wetu wa CCm Hadi wazee wetu ukizitazama huwa zimebadilika na kuvaa utaifa na utanzania,huwa Hakuna Cha urafiki Wala Nini mbele ya maslahi ya Taifa.

Ni mahali ambapo huwezi ukatumia fedha zako kuwanunua wajumbe ili upitishwe kugombea Urais,Ni mahali ambapo kujuwana na fulani hakuwezi kukusaidia kupata nafasi,hayo ya Fedha unaweza ukafanikiwa huko kwenye uenyekiti wa mitaa au udiwani na ubunge lakini siyo katika nafasi hii nyeti kwa Taifa letu,Ni nafasi ambayo ndio moyo wa Taifa letu hivyo kuuwa moyo Ni kuliua Taifa letu Jambo ambalo hakuna aliyetayari kufanya Jambo Hilo.

Lakini pia Sera na ajenda Bora ilizonazo CCM,Dira na muelekeo unaoeleweka Ndio imekuwa nguzo na ngao ya CCM Kuendelea kuwepo madarakani mpaka leo hii ,usikivu wa viongozi wa CCm na serikali Yake imekuwa ngao ya kuilinda ccm maana Ni watanzania ndio siku zote wamekuwa Askari wanaokwenda msitari wa mbele kuilinda kuipigania na kuitetea CCM ambayo imeonyesha umadhubuti katika kuliongoza Taifa letu, watanzania ndio wakati wote wamekuwa wakimiminika vituoni kwenda kuipigia Kura CCM ili ipite,Ndio maana huwezi ukawashawishi watanzania kuipinga serikali yao maana wao ndio huiweka madarakani kila uchaguzi ufikapo,ndio maana hata Sasa wanasubiri kwa hamu uchaguzi ufike ili waipigie CCM Kura za Ndio kutokana na kufanya kazi za kutukuka katika kugusa maisha yao na kuleta Tabasamu Katika Mioyo yao.

Ilani ya CCM katika kila uchaguzi imekuwa Ni Bora Sana kwa kuandaliwa na jopo la wataalamu kutoka fani zote na kufanya utafiti wa kisayansi na Kuja na mambo yanayogusa maisha ya watanzania na kujibu kero na changamoto zao kulingana na wakati husika,hii ndio sababu ya CCM kuonekana kipya kila uchaguzi unapowadia kwa kuleta matumaini mapya na Nuru katika kila kundi hapa nchini ukilinganisha na vyama vingine ambavyo hata ilani tu ya uchaguzi huwa haieleweki IPO wapi zaidi ya kwenda na mdundo wa mgombea wao anayekuwa anapuyanga na kuongea chochote kinachomjia akilini na mdomoni mwake kwa wakati huo, Yaani mtu ndio huwa ilani ya upinzani .

Ndio maana navishauri vyama vya upinzani vijikite katika nafasi za ubunge kushuka chini ili viende bungeni kujifunza na kupata uzoefu wa kujiongoza utakovisaidia kujiendesha kitaasisi tofauti na Sasa ambapo vinajiendesha Kama Mali ya mtu binafsi au vikundi vya kukopa na kukopeshana fedha mitaani ndio maana unaona Mbowe akilalamika kuwa amepoteza mabillioni kwenye chadema.

Nje na hapo ni kujipotezea muda tu kutafuta na kushindana na CCM kutafuta Urais ,Nasema Ni kujidanganya tu maana hata watanzania wanajuwa Hilo kuwa Urais utabaki kuwa wa ccm tu jua liwake mvua inyeshe kwa kuwa CCM ndio imeonyesha umadhubuti na uimara wa kuliongoza Taifa letu Tofauti na hao wengine wanaoshindwa kupata hata mbadala wa Mwenyekiti.

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
Hakuna anayeijua milele mengine tumwachie Mungu tusikufuru!!!
 
Taratibu dozi imeanza kukuingia
 
Back
Top Bottom