Nimekuwa nikimsikia Bashe akijipata kuwa anawatetea wakulima wauze wanavyotaka kwani kilimo ni biashara.
Kwa heshima na unyenyekevu mkubwa naomba unitajie angalau majina ya wakulima 10...
Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa ambayo tumeamua kushare nawe, ni kwamba baada ya ule mkutano mkubwa wa Hadhara uliohutubiwa na Tundu Lissu pale Ikungi, Vijana wa Bavicha hawakulala, wameamua...
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!
Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa;
Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo...
Tundu Lisu anasema baada ya kupigwa risasi Mdada wake wa Kazi Amina alishuka chini na Kuanza kupiga mayowe
Kisha Dereva naye akaibuka maana alijificha kukwepa Risasi na wakamwita Rehema Mdada wa...
Ningependa kuwakaribisha wadau wote wa JamiiForums kwa majawabu katika hili swali linalonitatiza kwa muda sasa.
SWALI:
Je, suala la mtu kupewa dhamana ya kuongoza katika taifa letu, swala la ndoa...
Huu ndio Ukwelik wamba Mwenyekiti wa CCM ndiye Mdhibiti Mkuu wa Siasa nchini.
Na ndio sababu Rais wa JMT akishachaguliwa faster anapewa Uenyekiti wa Chama lakini Rais wa Zanzibar kuwa Makamu wa...
Hii ndio Taarifa mpya iliyotufikia hivi punde , kwamba yule Jamaa ambaye kwa sasa anatikisa nchi mithili ya Tetemeko la Uturuki, leo saa 3 usiku kwenye kipindi cha DK 45 cha ITV atahojiwa.
Kwa...
Serikali inayoongozwa na Rais Dk. Samia Suluhu Hassan, imeshuhudia mafanikio makubwa katika kuimarisha miundombinu hususan barabara, reli, viwanja vya ndege, bandari, huduma za kiuchumi na...
Na Mwl Udadis, SINGIDA
Wakati mfumuko wa bei katika mataifa mengi ndani na nje ya Afrika ukiendelea kushika kasi, nchini Tanzania mfumuko wa bei wa Taifa mpaka Mwezi Desemba 2022 ulipungua na...
Masuala ya bei ni masuala yanayohusu uchumi wa soko, yaani bei huwa inaamuliwa na nguvu za demand and supply au huwa tunaita 'Price mechanism'. Muasisi wa falsafa hii ni baba wa uchumi, na...
Kauli hii Muhimu imetolewa na Mwamba wa siasa za Tanzania Mh. Freeman Mbowe huko Ikungi Mkoani Singida.
Akihutubia Maelfu ya wananchi wa Ikungi, katika Mkutano unaodhaniwa kuvunja rekodi ya...
Salaam,
Katika kipindi cha miaka 7 Rais aliyepita aliweka zuio la muda la mikutano ya siasa/ hadhara kwa mujibu wa Sheria na tamaduni zetu.
Vyama vyote vya siasa tulifurahia na kutekeleza agizo...
Nikiwa katikati ya harakati za kusaka mkate wangu wa siku, nikakutana na hoja ambayo si tu kwamba ilinichosha bali ilinipa mahangaiko kutokana na UPOTOSHAJI mkubwa ambao ukiuangalia kwa ndani...
Kama siyo kuchekesha basi mnasikitisha, kama wote mnalalamika nani ana wajibu wa kutatua?
Wapinzani wanalalamikia kupanda kwa gharama za Maisha watawala wanalalamikia hilo hilo nani ana wajibu...
Jana Tundu Lissu alielekea nyumbani kwao Singida huku akiwa na amani ya kutosha maana anajua Tanzania ni salama na Rais Samia Suluhu, hakuna tena watu wasiojulikana hili ni jambo kubwa sana Rais...
Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA Tundu Lissu amesema Serikali ya Tanzania ina Matumizi ya anasa ya kodi za wananchi.
Amesema kwa mfano Ubelgiji Msafara wa Mkuu wa Nchi ambaye ni Waziri Mkuu una...
Mkuu wa Kanisa la Roma Duniani alikuwa nchini Sudani. Katika kuimiza Amani aliongoa Kwa uchungu sana. Akuishia kuongea Tu Bali akachukua jukumu la kuwapigia magoti kiongozi mmoja mmoja.
Pamoja...
Tanzania: UN experts warn of escalating violence amidst plans to forcibly evict Maasai from ancestral lands
GENEVA (15 June 2022) – UN human rights experts* have expressed grave concerns about...
We Mwigulu umekengeuka sana. Unajifanya mbabe na maneno ya dharau wakati unahojiwa hoja za msingi.
Hivi kwanini ulidanganya hapo awali kuwa ulitumia bil 124 kujenga madarasa nje ya bajeti.
Sasa...
Kumekuwa na hoja kutoka siasa za upinzani, wakidai kwamba kuna uwezekano wa bei za vyakula kushuka iwapo tu tungekuwa na Katiba Mpya.
Hii ni hoja inayowavutia sana wananchi ila hakuna hata...