Kwako Waziri wa Ardhi Tanzania

The Hyper

JF-Expert Member
Feb 20, 2012
1,719
983
Nakusalimu kwa jina la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania!

Nakuandikia hili,ikiwa ni kiulizo&taarifa kuwa;
Je,umeshindwa kutatua changamoto ya uporaji Ardhi inayofanywa na mamlaka za Ardhi zilizo chini yako nchini?

Mfano;
Ichunguze Idara ya Ardhi Manispaa ya Morogoro,
Kuna uhuni mwingi unaendelea pale katika mradi wa upimaji Ardhi Kiegea A&B.

Wananchi wanaporwa haki zao.

Rushwa imetanda ofisi ya Ardhi Manispaa ya Morogoro.

Tumia vyombo vyako kulichunguza na kuanza na hilo linaloendelea pale kwa sasa.

Ukiweza nenda/tuma team yako ikazungumze na wananchi wa eneo hilo,watakueleza yote.

RC wa sasa ndiyo ameshindwa kabisa kutatua changamoto za Ardhi pale Morogoro.
 
Kilio cha samaki. Huyo waziri amekuwa mzembe sana
Arudishwe lukuvi. Au mwane jakaya akalie kiti
Screenshot_20230202-174515.png
 
Pia Manispaa ya Sumbawanga inawanyang'anya viwanja wamiliki wenye tittle deed(hati) bila kufuata utaratibu na kutoa barua tu kwa wamiliki wapya pia kuna hukumu za mahakama zimetolewa juu ya migogoro ya ardhi hawataki kutekeleza hukumu hizo za mahakama
 
Back
Top Bottom