Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Naomba mnipe indicators ambazo mtu anaweza kuzitumia kuonesha kuwa Rais fulani/mtawala fulani/serikali fulani imeshindwa kutawala....
4 Reactions
28 Replies
2K Views
Mh spika bila kumtaja moja kwa moja amesema jamaa amenunua phd hiyo kwa usd 2500 Pia amehoji kwanini wote wanapewa na vyuo vya nje sio vya ndani
22 Reactions
116 Replies
11K Views
Nchi hii haitakuja kupata maendeleo kwa sababu wananchi tumekuwa wajinga. Na viongozi kwa sababu wanajua wanatawala Taifa la wajinga, hawana wasiwasi kabisa wala woga kwa sababu wanajua udhaifu wa...
9 Reactions
35 Replies
2K Views
Mahakama ya hakimu mkazi kisutu imemhukumu kwenda jela miaka 4 au kulipa faini ya tsh mil 12 aliyekuwa mkurugenzi wa mamlaka ya viwanja vya ndege Tanzania David Mattaka na wenzie kwa kosa la...
7 Reactions
33 Replies
2K Views
Amesisitiza kuwa Serikali imeamua kutowazuia Watu ndani ya nyumba zao wala kufunga mipaka kwa kutambua madhara mkubwa yanayoweza kutokeza kwa kufanya hivyo. Aidha, amesema madhara hayo yanaweza...
33 Reactions
513 Replies
61K Views
Wakuu nampongeza mh Bashe waziri wa kilimo kwa mengi aliyoyafanya kilimo, isipokuwa Kwa Leo nampongeza kwa msimamo wake wa kutetea wakulima juu kuuza mazao Yao waliyolima kwa gharama zao kuuza...
10 Reactions
94 Replies
4K Views
Kuanza kwa shughuli za kisiasa kumekuja na yake. Tayari mwelekeo uko wazi. Mikutano ya CCM, Chadema na CUF imesikika na mwenye macho kaona. Hayapo mashaka tena kuwa Chadema haina cha kufanya na...
9 Reactions
37 Replies
2K Views
Mimi nakubali sana kuwa JPM alikuwa na utashi mkubwa na nchi hii lakini uwezo alikuwa hana. Hii inadhihirishwa na miradi mikubwa aliyoianzisha, japo nina uhakika asingeweza kuimaliza maana tayari...
8 Reactions
155 Replies
5K Views
Kwanza, nimpe pole TAL kwa yote yaliyomkuta, hakika amepitia magumu lakini tunashukuru kwa kuwa Sasa umetengamaa. Karibu nyumbani tulijenge taifa. Nimefuatilia sana mahojiano ya Lissu na media...
14 Reactions
62 Replies
3K Views
Salamu za Rambirambi
1 Reactions
20 Replies
3K Views
Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha? Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana...
6 Reactions
63 Replies
3K Views
Chama cha Mapinduzi (CCM) kimempongeza na kumshukuru amiri Jeshi mkuu na Rais wa JMT Mama Samia Suluhu Hassan kwa Uzalendo wake kwa Taifa, Ushupavu na Ujasiri katika kulinda na kusimamia "Tunu za...
11 Reactions
188 Replies
11K Views
Ndugu zangu watanzania, Rais Samia Ambaye kwa Sasa anatajwa Kama kiongozi aliyeituliza Jumuiya ya Afrika mashariki,Na ambaye wananchi wa Jumuiya na ukanda huu wanatamani nchi zote za Jumuiya...
0 Reactions
0 Replies
551 Views
Ndio basi tena 1. Wamachinga ni Tawi la CCM 2. Mama lishe ni Tawi la CCM 3. Madereva na Makonda Tawi la CCM 4. Vijiwe vya Boda boda ni Tawi la CCM 5.Wasanii ni Tawi la CCM 6. Walimu ni Tawi...
6 Reactions
63 Replies
2K Views
DC Saad Mtambuke wa Kinondoni amewataka Wananchi waache kutumia mitandao kueneza Uzushi na kuzua taharuki Mtambuke amesema taarifa za jana kuwa Bunju kulikuwa na Panya road ulikuwa ni Uzushi...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Hapa ni marais wanaongoza nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na nani kinara kama tukihitaji mmoja awe Rais wa shirikisho letu Wiliam Samoi Ruto, Kenya Yoweri Kaguta Museveni, Uganda...
0 Reactions
5 Replies
881 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amefungua Mkutano Mkuu wa nane wa Chama Cha Walimu Zanzibar (ZATU) uliyofanyika Ukumbi wa ZSSF Tibirinzi Chake chake...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Wabunge kutumia muda wa bunge la taifa kuulizia barabara ya wilaya na kituo cha afya na shule ya kata ya zitajengwa lini sio matumizi mazuri ya muda wa bunge, huenda wengine wanauliza ili wasikike...
8 Reactions
20 Replies
1K Views
Mke wa Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Mama Mariam Mwinyi ameshiriki matembezi na mbio za Marathon katika maadhimisho ya Siku ya Sheria Duniani. Katika kilele cha matembezi...
0 Reactions
3 Replies
580 Views
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…