CHADEMA hawawezi tena kuishinda CCM kwani wamenyang'anywa kundi walilolitegemea la Wanafunzi Elimu ya Juu

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,968
141,980
Ndio basi tena

1. Wamachinga ni Tawi la CCM

2. Mama lishe ni Tawi la CCM

3. Madereva na Makonda Tawi la CCM

4. Vijiwe vya Boda boda ni Tawi la CCM

5.Wasanii ni Tawi la CCM

6. Walimu ni Tawi la CCM

7. Wavuvi ni Tawi la CCM nk nk

Kundi pekee ambalo Chadema walikuwa na uhakika nalo ni la Wanafunzi wa Elimu ya Juu nalo jana limechukuliwa rasmi na CCM

Siasa ni Sayansi, Hongera Mwenyekiti wa CCM mh Samia kwa kuudondosha mbuyu, Hili kundi limeisumbua CCM kwa miaka sasa.

Mungu ni mwema wakati wote!
 
Unajua maana ya kula ccm kura chadema?
 
Endeleeni kujidanganya kuwa mmewateka wkt maisha ni yale yale...mtashanga na roho zenu 2025 .. kwanza mwakani tu hapa tunawapiga kwa gape la 3/4 kwenye chaguzi za serikali za mitaa na vijiji . Alafu 2025 tunamalizia tu
IMG-20230210-WA0008.jpg
 
Ndio basi tena

1. Wamachinga ni Tawi la CCM

2. Mama lishe ni Tawi la CCM

3. Madereva na Makonda Tawi la CCM

4. Vijiwe vya Boda boda ni Tawi la CCM

5.Wasanii ni Tawi la CCM

6. Walimu ni Tawi la CCM

7. Wavuvi ni Tawi la CCM nk nk

Kundi pekee ambalo Chadema walikuwa na uhakika nalo ni la Wanafunzi wa Elimu ya Juu nalo jana limechukuliwa rasmi na CCM

Siasa ni Sayansi, Hongera Mwenyekiti wa CCM mh Samia kwa kuudondosha mbuyu, Hili kundi limeisumbua CCM kwa miaka sasa.

Mungu ni mwema wakati wote!
1. jobless ni kundi la ccm
2. panya road ni kundi la ccm
3. waganga wa kienyeji ni tawi la ccm, wako bungeni ujue.
4. mafisadi ni tawi la ccm
5. wakulima ni tawi la ccm.
 
Ndio basi tena

1. Wamachinga ni Tawi la CCM

2. Mama lishe ni Tawi la CCM

3. Madereva na Makonda Tawi la CCM

4. Vijiwe vya Boda boda ni Tawi la CCM

5.Wasanii ni Tawi la CCM

6. Walimu ni Tawi la CCM

7. Wavuvi ni Tawi la CCM nk nk

Kundi pekee ambalo Chadema walikuwa na uhakika nalo ni la Wanafunzi wa Elimu ya Juu nalo jana limechukuliwa rasmi na CCM

Siasa ni Sayansi, Hongera Mwenyekiti wa CCM mh Samia kwa kuudondosha mbuyu, Hili kundi limeisumbua CCM kwa miaka sasa.

Mungu ni mwema wakati wote!
Unajidanganya tu
IMG-20191109-WA0000.jpg
 
Nilishakuambia siku za nyuma, usilitaje jina la Mungu kwenye mizaha yako, Mungu si Mungu wa mizaha km unavyodhani..muheshimu Mungu kijana!
 
Nilikuja kugundua kwamba, vyama vya siasa ni Imani yaaan nikm Kula nyama ya mtu .

Yaaan hivi vyama viko Damuni, ndio maana Chama kinaweza ongozaa na mjinga sanaaa, lkn wafuasi ndo kwanza huwambii kitu.

Kuna mambo ni Imani sana
 
Ndio basi tena

1. Wamachinga ni Tawi la CCM

2. Mama lishe ni Tawi la CCM

3. Madereva na Makonda Tawi la CCM

4. Vijiwe vya Boda boda ni Tawi la CCM

5.Wasanii ni Tawi la CCM

6. Walimu ni Tawi la CCM

7. Wavuvi ni Tawi la CCM nk nk

Kundi pekee ambalo Chadema walikuwa na uhakika nalo ni la Wanafunzi wa Elimu ya Juu nalo jana limechukuliwa rasmi na CCM

Siasa ni Sayansi, Hongera Mwenyekiti wa CCM mh Samia kwa kuudondosha mbuyu, Hili kundi limeisumbua CCM kwa miaka sasa.

Mungu ni mwema wakati wote!

Tume huru tu ya uchaguzi ndio utajua kula ccm, kura CDM.
 
Back
Top Bottom