Rais Samia anaposema Kilimo ni kipaumbele cha Serikali yake anamaanisha?

Sifi Leo

Platinum Member
Joined
Mar 30, 2012
Posts
6,397
Reaction score
12,086
Raisi Samia anaposema kipaumbele cha serikali ya awamu ya sita ni kilimo anamaanisha?

Hivi mbona tunakurogona jamani? Kweli kipaumbele cha serikali ambayo haijachaguliwa ni kilimo? Naogopa sana kusema ila tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka pasipo kupigiwa kura ni serikali za ovyo sana.

Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?

Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.

Kilimo ndo kila kitu acheni na sisi Wakulima kutoka Vyuo vikuu tulambe Asali.
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?

Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Moderators wasaidie edditing pls

Moderator
 
Hata awamu ya nee ilikua hivyo.

Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.

Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Umesahau kilimo cha Powertiller.
 
Hata awamu ya nee ilikua hivyo.

Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.

Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Yes bila kusahau chama kilichokua madarakani ni CCM na Bado ni CCM so nafurahi napoona Wana CCM mnakiri kuwa chama chenu Cha kifisadi!! Sasa mchukue hatua mtoke huko muanzishe hata chama sio mnakua wanafiki wa kuzisema huku hamtaki kuleta mabadiliko
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?
Haswa!.
Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa
Ukilaza ukipitiliza ni shidah!. Serikali gani isiyicho chaguliwa?.
naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Serikali gani iliyoingia madarakani bila kupigiwa kura?.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Kwa vile kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu, then kilimo ndio kipaumbele No. 1 kwa taifa letu!. Mama is on the right track!.
P
 
Haswa!.

Ukilaza ukipitiliza ni shidah!. Serikali gani isiyicho chaguliwa?.

Serikali gani iliyoingia madarakani bila kupigiwa kura?.

Kwa vile kilimo ndio uti wa mgongo wa nchi yetu, then kilimo ndio kipaumbele No. 1 kwa taifa letu!. Mama is on the right track!.
P
Uwa naumia nikitukanwa na jitu Zima,kama Ili Mimi uwa naumia sana jitu Zima ovyo kabisa yaani serikali ya awamu ya sita ilichaguliwa na nani?nani alimchagua Dr Samia kuwa Rais?Huyu ni raisi wa urisi aliye risi uraisi ulio kuwa haramu,kipi usichokijua?au Kwa kuwa na wewe ulikuwa sehemu ya wagombea haramu wa ccm uliyetiwa adabu na wajumbe ovyo wa chama Cha wizi WA kula milele na milele Amina?
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?

Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Aliposema kipaumbele kilimo, sisi wakulima tumeelewa maana hata mbolea kweli tumeipata ya ruzuku tumeipata kwa urahis haitupi tabu kulima.
Nimesikia block farms za vijana zinaanzishwa, hii awamu ni maneno na vitendo. Eko rais.!
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?

Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Wanasema kilimo ndio kipaumbele chao mbona hapo Ikwiriri Rufiji wananchi wameambiwa wahame wayaache mashamba yao na nyumba zao eti miaka zaidi ya 20 waliyokuwepo hapo walikuwa wamevamia msitu wa Ngomboroni ? Je hicho ndicho kipaumbele kinachopewa Kilimo ??!!
 
Tanzania haijawahi kuwa na vipaumbele,
Ndio maana tunajenga madarasa toka 1961,
Laiti hiyo sekta ya kilimo ingekuwa ni kipaumbele toka awamu ya 1-6 basi Mimi na wewe tungeshuhudia makubwa kwenye kilimo na maendeleo ya mkulima🧐
 
Uwa naumia nikitukanwa na jitu Zima,kama Ili Mimi uwa naumia sana jitu Zima ovyo kabisa yaani serikali ya awamu ya sita ilichaguliwa na nani?nani alimchagua Dr Samia kuwa Rais?Huyu ni raisi wa urisi aliye risi uraisi ulio kuwa haramu,kipi usichokijua?au Kwa kuwa na wewe ulikuwa sehemu ya wagombea haramu wa ccm uliyetiwa adabu na wajumbe ovyo wa chama Cha wizi WA kula milele na milele Amina?
Ukiwa ni mjinga ukiambiwa mjinga, hujatukanwa ni umeambiwa ukweli!, na kiukweli kabisa tuna mijitu mijinga ajabu humu JF!. Haijui kuwa Samia alichaguliwa na kila aliyemchagua JPM ile 2020!.

Ujue hata wale vichaa wanao okota makopo sio wanapenda!, ni hali tuu. Hata wale wanaotembea utupu, wanawashangaa nyinyi mnaovaa nguo kuficha utupu kuwa mnaficha nini wakati mlikuja utupu na kuondoka utupu?. Ukimuana mtu anaelekea kwenye ukichaa, ukimshutua kuwa anakokwenda siko, huko ni kumsaidia, hivyo ndugu yangu ujue hapa mimi ndio nakusaidia!.

Kwa kila aliyepiga kura 2020 kumchagua JPM, pia alimchagua Samia!. Kwa vile kuna watu wameaminishwa kuwa JPM hakushinda uchaguzi ule aliyeshinda ni mgombea wa upinzani!. Kila anayeamini kuwa ni kweli upinzani ulishinda urais wa JMT uchaguzi wa 2020, na yeye atakuwa ni yuko kundi hili Kuwa kichaa sio mpaka kuokota makopo! Je, Tanzania tuna vichaa wengi kuliko tunavyojidhania?
P
 
Raisi Dr Samia anasema kipao mbele Cha serikali ya awamu ya sita ni KILIMO?

Hivi mbona tunakurogona Jamani?kweli kipao mbele Cha serikali hisiyochaguliwa ni Kilimo?naogopa sana kusema ILa tutake tusitake serikali zinazojiingiza madaraka PASIPO kupigwa kura ni serikali za ovyo sana.
Naogopa kusema serikali yenye kauli mbiu ya mambo ya kilimo ni serikali za kipigaji sana.
Rais Samia Kamatia hapo hapo Kuna mjinga mmja huku umemkuna kidoti

Hata awamu ya nee ilikua hivyo.

Lakini zililimwa zaidi pesa za wananchi kuliko mazao.

Kulikua na kilimo cha Epa, escrow , fedha za miradi etc.
Vyote hivyo haiwezi fikia Ufisadi wa awamu ya 5,Siku ije itokee Wapinzani wanashika dol aisee mtatamani Ardhi ipasuke muingie
 
Back
Top Bottom