Kama tumeingia kwenye Shirikisho la Kisiasa la Afrika Mashariki, nani angefaa kuwa Rais?

USSR

JF-Expert Member
Jul 15, 2015
9,896
22,666
Hapa ni marais wanaongoza nchi wanachama wa Jumuiya ya Afrika Mashariki na nani kinara kama tukihitaji mmoja awe Rais wa shirikisho letu

Wiliam Samoi Ruto, Kenya

Yoweri Kaguta Museveni, Uganda

Samia Suluhu Hassan, Tanzania

Poul Kagame, Rwanda

Salva Kiir, Sudan Kusini

Felix Murombo

USSR

20230212_135122.jpg
 
Acha kuota ndoto za Alinacha, hakuna kitu hicho kwa miaka 100 ijayo. Hizo nchi zao tu wengi wanashindwa kuzi-manage ndio itakuwa Africa Mashariki nzima.
 
Hapa ni marais wanaongoza nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na nani kinara kama tukihitaji mmoja awe raisi wa shirikisho letu


Wiliam Samoi Ruto . Kenya

Yoweri Kaguta Museveni. Uganda

Samia Suluhu Hassan. Tanzania

Poul kagame .Rwanda

Salva kiir . Sudan kusini

Felix Murombo

USSR View attachment 2515121
Hapa tungefikiri Rais Samia au Rais Ruto. The rest wana roho za ki- s/ gang hawafai kwa mboga wala kulumangia.
 
Hapa ni marais wanaongoza nchi wanachama wa jumuiya ya Afrika mashariki na nani kinara kama tukihitaji mmoja awe raisi wa shirikisho letu


Wiliam Samoi Ruto . Kenya

Yoweri Kaguta Museveni. Uganda

Samia Suluhu Hassan. Tanzania

Poul kagame .Rwanda

Salva kiir . Sudan kusini

Felix Murombo

USSR View attachment 2515121
Uhuru Kenyatta,Mbowe,Lisu ,Samia, Robert Chagulanya,Moise Katumbi🤔
 
Back
Top Bottom