Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Deni la Serikali ya Tanzania viashiria vinaonesha ni stahimilivu na ni tulivu kwa wigo unaokubalika kimataifa kwa kipindi kifupi, cha kati na kirefu hivyo kuweni na amani, " Hakuna kama Rais...
10 Reactions
87 Replies
6K Views
MTANGAZAJI maarufu na Mchambuzi maarufu wa Siasa za Tanzania, Gerald Hando ameweka wazi msimamo wake kutokubaliana na utaratibu wa Serikali inavyokopa poka hovyo na kusisitiza kuwa uamuzi wa Job...
39 Reactions
144 Replies
12K Views
Nimesikiliza uchambuzi wa huyu mtangazaji wa Efm wa kipindi cha joto la asubuhi alivokua anaelezea madhara ya mikopo ya mashirika ya kimataifa kama World Bank na IMF, sijaona dhambi mpaka...
6 Reactions
13 Replies
2K Views
HATIMAYE MHE MARIAM DITOPILE AMECHAGULIWA KWA KURA NYINGI KUWA MAKAMU MWENYEKITI WA KAMATI YA VIWANDA, BIASHARA, KILIMO NA MIFUGO. ====== Mbunge wa Wanawake kupitia Mkoa wa Dodoma Mheshimiwa...
7 Reactions
38 Replies
3K Views
Wadau Kupitia waziri wa ardhi Mama Mabula alitangaza kuwa Mhe. Rais katoa Msamaha kwa wadaiwa wa kodi za ardhi kwa kuondoa riba ya kodi ya ardhi. Msamaha huo bado hautekelezwi na ofisi za ardhi...
1 Reactions
1 Replies
546 Views
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.Hussein Ali Mwinyi amesema uanzishwaji wa Mahkama maalumu ya rushwa na uhujumu uchumi itaisaidia Serikali katika mapambano dhidi ya vitendo...
2 Reactions
19 Replies
2K Views
WAZIRI wa Fedha na Uchumi, Dk. William Mgimwa, anadaiwa kusoma hotuba ya bajeti iliyojaa kasoro nyingi, ikiwa ni pamoja na kukosekana kwa vipengele muhimu vilivyokubaliwa na Kamati ya Uchumi na...
1 Reactions
96 Replies
8K Views
Habari, Katka kumbukumbu zangu kipindi cha utawala wa Kikwete, walimu waliongezwa mishahara na madokta pia waliongezwa mishahara, lakini kwanini waligoma? Katika kipindi cha JPM hakuna...
6 Reactions
44 Replies
2K Views
Aliitwa/alienda mwenyewe nafikiri ilikuwa ni kesi ya Balozi aliyeitwa Mahalu aliyeshutumiwa kwa uuzaji wa nyumba ya Ubolozi huko Italia, baada ya Mkapa hakuna na wala hakujawahi kuwa na Rais wa...
5 Reactions
16 Replies
1K Views
Kwanza kabisa Ieleweke wazi kuwa mchakato wa Katiba ni zaidi ya Siasa na siyo lelemama Nakumbuka Mzee Warioba alisema Dkt. Mvungi alikuwa injini ya Tume ya Katiba Naye JK alisema Dkt. Mvungi...
1 Reactions
6 Replies
718 Views
Ndugu zangu watanzania , Utafiti wa wataalamu wa masuala ya uongozi na sayansi ya siasa umeonyesha kuwa kwa Sasa CCM ndio chama Bora Barani Afrika na kinachokubalika na makundi ya aina...
0 Reactions
2 Replies
437 Views
Siku za nyuma kidogo kulikua na tuhuma kwamba kuna watu wameandaliwa na chama tawala kuja kutetea kila kitu kinachofanywa na serikali huku mitandaoni kwa malipo ya shilingi 7000 kwa siku, sina...
2 Reactions
10 Replies
1K Views
Hali bei ya mahindi katika masoko makubwa ya Nafaka katika sehemu mbalimbali mikoani imeonekana kuwa na ahueni mkubwa kutoka Tzs 25,000 kwa Debe hadi shilingi 16000-15000 Bei ya hivi leo. Katika...
8 Reactions
56 Replies
6K Views
Ninaomba kufahamu jambo kidogo kwanza Serikali iliamua kudhibiti simu fake ambazo walidai zinakuwa na IMEI zaidi ya moja na rahisi kubadilisha IMEI wakati wa kuifuatilia ajabu ni kwamba inakuwa...
2 Reactions
13 Replies
2K Views
Natamani Rais angeniteua DED wa Kilosa au aipandishe hadhi Mikumi Mji kuwa Halmashauri ya Mamlaka ya Mji Mdogo yaani TC ili aniteue Mkurugenzi wake. Kwanini nalisema hili? 1. Mikumi umekuwa mji...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Taarifa ikufikie popote ulipo kwamba Makamu Mwenyekiti wa CHADEMA, Tundu Lissu, leo Alhamisi tarehe 9/2/2023 amefika kwenye ofisi ya RPC Dodoma kuangalia hali ya gari lake aliloshambuliwa nalo...
38 Reactions
227 Replies
16K Views
Limejitokeza kundi lingine la kumtetea binadamu mwenye nguvu zaidi hapa Tanzania kwa mujibu wa CHADEMA kuwa rais ni zaidi ya mfalme kwa katiba iliyopo. Samia GANG hili ni kundi maalum kutoka...
6 Reactions
67 Replies
3K Views
Mnamo tarehe 08 February 2023 kulitokea vurumai katikati ya jiji la Mwanza baada ya Mgambo wa jiji kuanza kuwashambulia wachuuzi wa biashara hapo mjini. Vurugu hizo zilipata upinzani kutoka kwa...
6 Reactions
44 Replies
3K Views
Kiukweli Swala la Michezo ya Kubet na Kamari liangaliwe kwa upya, Tanzania tunaangamia kwa kukosa maarifa Kamari imevuruga kabisa mzunguko wa Fedha Kwenye Sekta za Uzalishaji Vijana wanatafuta...
15 Reactions
43 Replies
3K Views
Uchambuzi huu umefanywa na tuliokuwa tunasikiliza bunge tangu kuanza kusoma kwa bajeti, waweza kuongeza majina katika kundi lolote ili waheshimiwa hawa wajirekebishe au waendelee kutoa michango...
0 Reactions
60 Replies
7K Views
Back
Top Bottom