Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Unashangaa mwalimu wa Voda fasta amekuwa Afisa Elimu. Haya ni maajabu na uabunuasi. Unamuacha mwalimu mwenye sifa zake za muda mrefu unamchukua Voda fasta? Mwl amewekwa kama daraja bovu wakubwa...
6 Reactions
24 Replies
3K Views
Waziri wa Utalii (simfahamu kwa jina) una kazi kubwa kukuza utalii nchini. Njoo na strategy na products za nyongeza kwenye utalii (eg. Sports, conference, medical, religious tourism) kujazia...
5 Reactions
12 Replies
1K Views
Membe ameyasema hayo akiwa Mpanda mkoani Katavi, kwamba mpaka sasa roho yake inadunda mapigo mawili Pinda/membe ana uhakika akishinda yeye ameshinda Pinda akishinda Pinda ameshinda yeye...
0 Reactions
67 Replies
8K Views
Askofu wa KKKT, Stephen Munga ameadhimisha ibada maalumu ya kulaani mashambulizi yaliyofanywa na ‘watu wasiojulika’ dhidi ya Tundu Lissu KKKT NAO WAWASOMEA ‘ALBADIR’ WALIOMPIGA LISSU NA OSCAR...
26 Reactions
62 Replies
10K Views
Imefika wakati wa kuwauliza vijana ukikutana nao, wewe unafanya nini kama ilivyokuwa zamani. Vijana wetu tena wadogo ni zaidi ya 70% ya watanzania. Ni lazima tuweke utamaduni tofauti kwa vijana...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hivi karibuni imezuka tabia ya kukwepa majukumu ambayo inapaswa kupingwa kwa hali na mali ndani ya nchi yetu. Vyama vya upinzani hasa Chadema kila wanapopata matatizo kisingizio chao ni hayati...
3 Reactions
17 Replies
2K Views
Maktaba zina utajiri mwingi ukiamua kufuatilia. Lakini pia unaweza kukutana na swala katika msitu wakati malengo yako yalikuwa kuwinda sungura. Hii nafikiri ndiyo sababu kuna watu hawakosi kwenda...
6 Reactions
26 Replies
10K Views
Kwa muda mrefu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikilalamika na kukituhumu Chama cha Mapinduzi kwa kukifanyia figisu na rafu za aina mbalimbali. CHADEMA imekuwa ikienda mbali...
2 Reactions
10 Replies
872 Views
Mada tayari, karibuni kwa mjadala...
8 Reactions
116 Replies
16K Views
Watanzania wanapaswa kuendelea kumuunga mkono Rais Samia Suluhu, kwani amekuwa akifanya kazi kubwa ya kutekeleza Dira ya Nchi ya maendeleo kwa watu wa matabaka yote nchini. Aliwahi kusema...
2 Reactions
13 Replies
961 Views
Ndg habari, kinachojiita chama kikuu cha upinzani Tanzaniaa CHADEMA, sera kuu iliyobaki ni Magufuli dikteta, Lissu kupigwa risasi. Je hii sera italiokoa taifa na ufisadi mkubwa unsoendelea...
4 Reactions
61 Replies
2K Views
Serikali ya Rais Samia Suluhu inatekeleza miradi mikubwa mitatu ya kupeleka umeme zaidi vijijini miradi ambayo itagusa sekta ya kilimo, afya, maji, viwanda vidogo na madini. Ukamilishaji wa...
1 Reactions
3 Replies
621 Views
Yaani waziri wa pesa anadai madarasa ya tril 1.3 yamejengwa lakini ukizunguka hapa nchini unakuta watoto wanakaa chini. Bwawa la Nyerere linakamailika, Mv Nyerere imekamilika. Hii yote ni sababu...
29 Reactions
124 Replies
6K Views
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Samia Suluhu Hassan akiwaapisha Viongozi wateule leo tarehe 15 Februari, 2023 Ikulu jijini Dares Salaam. Viongozi walioapishwa ni pamoja na: - Mohamed...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
Kuna watu wanapiga kelele ya katiba mpya kila kukicha, lakini hawachukui hatua zozote. Wanajitokeza kwa kelele tu, na serikali inasikiliza bila kuchukua hatua yoyote. Ningependa kuwaambia wale...
0 Reactions
0 Replies
425 Views
Kuna tetesi nasikia kuwa mdude Chadema amekamatwa muda huu anaelekea kwa RCO! Mdude chadema sumu ya nyigu ---- Polisi Mkoani Mbeya wamemchukua @mdudechadematz Muda huu Akiwa Soko la Kabwe, Askari...
15 Reactions
212 Replies
13K Views
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka Jumatano Februari 15, 2023 amekutana, kujitambulisha na kuzungumza na Makatibu Tarafa na watendaji kata katika Wilaya Kilosa, akimbatana na Kamati...
0 Reactions
0 Replies
375 Views
Mwaka jana mfano India moja ya wazalishaji wakuu wa ngano Duniani alipiga marufuku kuuza ngano nje ya India hii ni ili alinde bei ya ndani ilio kuwa inaanza kupanda. Sasa je Tanzania na India...
8 Reactions
75 Replies
3K Views
Namshauri ndugu Mchengerwa moja kati ya majukumu atakayofanya ni kuongeza idadi ya visiwa ambavyo vitakuwa chini ya hifadhi ya SAANANE. Kisiwa Cha saanane ni hifadhi ya taifa, na kwa kuangalia...
0 Reactions
0 Replies
866 Views
Wanabodi Naangalia TBC mubashara uzinduzi wa Mama Samia Legal Aid Campaign, Katika ufuatiliaji wa uzinduzi huu mubashara kupitia TBC, kukatokea jambo fulani, kuna kiongozi mmoja mkubwa ambaye...
6 Reactions
18 Replies
2K Views
Back
Top Bottom