Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Ndugu zangu watanzania, Uchaguzi ujao Ni uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na ushindi mkononi, uchaguzi ambao CCM inakwenda ikiwa na Matokeo ya ushindi wa kishindo, Hii Ni kutokana na kazi kubwa...
1 Reactions
85 Replies
3K Views
Serikali kupitia Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari Nape Nnauye imesema, inakusudia kuvifanya vyombo vya habari nchini kufanya kazi kwa uhuru na kwamba, haitaviingilia kwenye...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Upinzani ili ung'ae, tusidanganyane! Unahitaji kashikashi ya watawala, pia inahitaji serikali iliyoshindwa kabisa na isiyohonga vjongozi wakuu wa wapinzani! Maana hao ndio wanaobeba matumaini ya...
0 Reactions
4 Replies
651 Views
Kuna wanaoshangaa kwanini nyumba za NHC zina bei sana kulinganisha na kujenga nyumba yako hii ndiyo sababu Tuchukulie NHC wamejenga nyumba kwa 1 Tsh 100M. Inabidi waongeze faida yao mfano 10%...
1 Reactions
2 Replies
552 Views
Tanzania wakati inapata uhuru mwaka 1961, kulikuwa na kizazi kilichokuwepo ambacho nakiita kizazi cha kwanza. Namaanisha watu waliokuwa na umri wa miaka 18 na kuendelea wakati nchi yetu ilipopata...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
Hii ni baada ya kuzunguka kwenye taasisi kubwa za kielimu hapa nchini na kubaini kwamba asilimia kubwa ya hawa tunawaita wasomi wa ngazi za juu ni wana CCM kindakindaki na bado wana imani kubwa na...
0 Reactions
25 Replies
2K Views
Habari za saa members wote. Nina swali lenye kuhitaji majawabu kutoka kwenu. SWALI: 1. Je, mikataba inayo saini serikali na nchi za nje au makampuni ya ndani na ya nje ina pitia bungeni...
0 Reactions
12 Replies
726 Views
Demokrasia ya kupokezana madaraka kwa wajamaa ni kitu kisichoeleweka kabisa. Ingawa kwa shinikizo za kimataifa angalau China mwaka 1980 waliweka ukomo wa urais kuwa vipindi viwili. Na Russia 1992...
0 Reactions
1 Replies
682 Views
Ni miaka miwili Sasa. Ilikuwa tarehe 9/12/2020, nikiwa nashikiliwa kwenye Kambi mojawapo ya jeshi Kwa tuhuma za kujihusisha na siasa tuhuma ambayo ilikuja kubadilishwa na Sasa nikawa natuhumiwa...
10 Reactions
45 Replies
2K Views
Kinachoendelea katika majimbo ya Kivu na Ituri huko DRC ni mpango wa muda mrefu wa kuanzisha Jamhuri ya Kivu ambapo maslahi ya Tusti yatalindwa. Mpango mkuu unatajwa ni kuwa na sauti kuu ya...
7 Reactions
25 Replies
2K Views
Ni kama vile Wajumbe wa Kamati Kuu ya Chadema wanaitendea haki kauli ya mzee Membe ya kupishana angani Hapa Arusha maandalizi ya mapokezi ya Mgombea ubunge wa Chadema Mh Godbless Lema yamepamba...
2 Reactions
33 Replies
2K Views
Katika kuunga Mkono jitihada za Rais Samia Suluhu kujenga Tanzania bora yenye ustawi, Wizara ya Katiba na Sheria imezindua kampeni ya Mama Samia ya msaada wa kisheria kwa lengo la kutoa msaada wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Habari ya asubuhi ndugu zangu, natumani ni wazima?! Leo wakati tunasafiri kutokea Dar kwenda Dodoma kutumia ndege ya Precission PW 600, kuna jambo limetokea. Tupo hewani nilikuwa nimekaa...
8 Reactions
21 Replies
3K Views
Mbunge wa Kongwa na Spika wa zamani wa Bunge, Job Ndugai amewataka wananchi kufanya kazi kwa bidii na kujiletea maendeleo badala ya kutumia muda mwingi kulalamika. Akizungumza wakati wa mkutano...
2 Reactions
37 Replies
3K Views
Kiongozi mkuu wa ACT Wazalendo na Mjumbe wa Kikosi kazi cha Prof Mkandalla mh Zitto Kabwe amehoji serikali ina kigugumizi gani kuanza utekelezaji wa maazimio ya Kikosi Kazi Zitto Kabwe ametaka...
3 Reactions
26 Replies
2K Views
Imagine Lissu alipigwa lisasi tena 32 na Mungu akamkingia kifua yule mwovu akaaibika akafa yeye lakini hakuna mtanzania hata mmoja ambaye alionesha kukerwa na jambo lilo kwa angalau kuonesha...
1 Reactions
4 Replies
402 Views
Hongereni na kazi. Waziri Mkuu Kassim Majaliwa amesema Kwa kipindi cha miezi 6 ya mwaka wa Fedha 2022/23 Serikali imefanikiwa Kukusanya shilingi Tilioni 13 na Bilioni 400 ikiwa ni sawa na...
1 Reactions
17 Replies
1K Views
CHADEMA ni chama cha umma kinachoendeshwa kwa kodi za wananchi. Ni vema ratiba ya Uchaguzi wa Viongozi wake ikatolewa mapema ili kuepuka undugunization huko mbele ya safari. Igeni CCM ambako ni...
3 Reactions
46 Replies
2K Views
Salaam Wakuu, Kama mnakumbuka, Baraza la Taifa vijana la CHADEMA Mkoa wa Tanga, Walitoa siku nne Watu wasiofahamika Waliompiga risasi Lissu Wajitokeze. Na Wasipojitokeza Watasoma Albadir. Baada...
3 Reactions
10 Replies
1K Views
Mama, kabla ya 2015 watu walikuwa wanakunywa bia masaa yote. Pombe ni miongoni mwa vyanzo vikuu vya mapato vya nchi yetu pendwa. Pombe inanywewa wakati wote, wakati wa misiba na wakati wa harusi...
6 Reactions
26 Replies
2K Views
Back
Top Bottom