CHADEMA wako tayari kufanya maridhiano na CCM kuliko kina Halima Mdee

Man from cuba

JF-Expert Member
May 2, 2021
556
1,365
Kwa muda mrefu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikilalamika na kukituhumu Chama cha Mapinduzi kwa kukifanyia figisu na rafu za aina mbalimbali.

CHADEMA imekuwa ikienda mbali zaidi na kufikia hatua ya kutoa kauli mbalimbali kupitia viongozi wao waandamizi mathalani matukio km mauaji ya Iringa, bomu Arusha, kumwagiwa tindikali Igunga, mauaji ya Mawazo Geita, tukio la Lissu n.k, ni matukio magumu kuyasamehe na kukubali maridhiano lakini inaonekana CHADEMA kupitia Mbowe wameamua kuyasamehe na kukubali maridhiano.

Lakini linapokuja suala la kina Mdee na wabunge wenzao wa viti maalum chadema wanajiapiza kutowasamehe, kitu kinachofurahisha wanadai hadi wajiuzulu na waombe msamaha hadharani.

Cha kujiuliza je, CCM wamewaomba radhi pamoja na mambo lukuki waliyowafanyia? Kwanini msikae pamoja na hao wapambanaji wenzenu? Hakuna kitu kinachoniuma kama kumpoteza mwalimu Nusrat Hanje.
 
Kwa muda mrefu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikilalamika na kukituhumu Chama cha Mapinduzi kwa kukifanyia figisu na rafu za aina mbalimbali...
Unacheza na buyu la asali, Mbowe yuko tayari kuona Halima akiangamia aliyeijenga Chadema kwa jasho na damu,na mchango wa ubunge wake, lakini anawasamehe CCM walikuwa wanawatafuta kuwaangamiza kila siku.Mwanasiasa ana rafiki wa kidumu.
 
Kwa muda mrefu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikilalamika na kukituhumu Chama cha Mapinduzi kwa kukifanyia figisu na rafu za aina mbalimbali.

CHADEMA imekuwa ikienda mbali zaidi na kufikia hatua ya kutoa kauli mbalimbali kupitia viongozi wao waandamizi mathalani matukio km mauaji ya Iringa, bomu Arusha, kumwagiwa tindikali Igunga, mauaji ya Mawazo Geita, tukio la Lissu n.k, ni matukio magumu kuyasamehe na kukubali maridhiano lakini inaonekana CHADEMA kupitia Mbowe wameamua kuyasamehe na kukubali maridhiano.

Lakini linapokuja suala la kina Mdee na wabunge wenzao wa viti maalum chadema wanajiapiza kutowasamehe, kitu kinachofurahisha wanadai hadi wajiuzulu na waombe msamaha hadharani.

Cha kujiuliza je, CCM wamewaomba radhi pamoja na mambo lukuki waliyowafanyia? Kwanini msikae pamoja na hao wapambanaji wenzenu? Hakuna kitu kinachoniuma kama kumpoteza mwalimu Nusrat Hanje.
Hao Covid 19 siyo waachama tena wa Chadema. Haya mambo ya kiumeni tuachie wenyewe wanaume, please !!!!!
 
Nepotism...kina Hilda Newton wako wanasubiri benchi wapewe wao huo ubunge..... pressure Kwa Mbowe ni kufukuza kina Halima ili kuwapa "their women "hizo nafasi
 
Kwa muda mrefu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimekuwa kikilalamika na kukituhumu Chama cha Mapinduzi kwa kukifanyia figisu na rafu za aina mbalimbali.

CHADEMA imekuwa ikienda mbali zaidi na kufikia hatua ya kutoa kauli mbalimbali kupitia viongozi wao waandamizi mathalani matukio km mauaji ya Iringa, bomu Arusha, kumwagiwa tindikali Igunga, mauaji ya Mawazo Geita, tukio la Lissu n.k, ni matukio magumu kuyasamehe na kukubali maridhiano lakini inaonekana CHADEMA kupitia Mbowe wameamua kuyasamehe na kukubali maridhiano.

Lakini linapokuja suala la kina Mdee na wabunge wenzao wa viti maalum chadema wanajiapiza kutowasamehe, kitu kinachofurahisha wanadai hadi wajiuzulu na waombe msamaha hadharani.

Cha kujiuliza je, CCM wamewaomba radhi pamoja na mambo lukuki waliyowafanyia? Kwanini msikae pamoja na hao wapambanaji wenzenu? Hakuna kitu kinachoniuma kama kumpoteza mwalimu Nusrat Hanje.
Hamna nafasi ya wasaliti tena. Hao wabebeni mpaka next election muwape majimbo au UDC
 
Halafu wanajiita chama cha kidemokrasia. Sijui ni demokrasia gani wanaihubiri wakati matendo yao hayana tofauti naya Enzi za Joseph Stalin.
 
Niseme kitu;
Kama akina Halima wangejua Magufuri angefariki, wasingefanya walivyofanya. Wao walijua kwa utawala ule na ngoma za JPM ngoja wazicheze kwa style ile vinginevyo wangekaa bench sana kitu ambacho hawakuzoea. Kwa kitendo kile waliangalia matumbo yao zaidi kuliko maslahi ya chama. Jinsia nayo ikawabeba na ndio inawatetea sasa Hivyo kwa kitendo cha mabadiliko haya wanajiona kama wamejifumanisha, watajitutumua lakini nafsi zitaeasuya.
Hawa mama atakuja kuwayeua ma DC lakini kwenye ulingo wa siasa nyota imesha chafuka.
 
Back
Top Bottom