Ojuolegbha
JF-Expert Member
- Sep 6, 2020
- 1,773
- 1,174
Mkuu wa Wilaya ya Kilosa Mhe. Shaka Hamdu Shaka Jumatano Februari 15, 2023 amekutana, kujitambulisha na kuzungumza na Makatibu Tarafa na watendaji kata katika Wilaya Kilosa, akimbatana na Kamati ya Ulinzi na Usalama na viongozi wa Halmashauri ya Wilaya hiyo katika Ukumbi mikitano Madaraka.
#KaziKazini
#KilosaYetuFursaZetu
#UongoziWaPamoja
#MaendeleoEndelevu
#KaziKazini
#KilosaYetuFursaZetu
#UongoziWaPamoja
#MaendeleoEndelevu