Wakati Tundu Lissu anasema "Ripoti ya Madini ya Prof. Osoro ni Professorial rubbish" mlimtukana

mr mkiki

JF-Expert Member
Sep 22, 2016
5,583
11,659
Wakati Tundu Lissu Anasema Ripoti Ya Madini Ya Prof Osoro Ni PROFESSORIAL RUBBISH Mlimtukana, Mkambeza Na Kumpiga Risasi Sasa Nendeni Mkasome Makubaliano Kati Ya Barrick Na Serikali Yenu Ni Kichefuchefu Kitupu! Waliokua Wanapigana Vita Ya Uchumi Wamegaragazwa Vibaya Na Mabeberu

Serikali Na Kampuni Ya Barrick Wamekubaliana Kuwa Bunge La Tanzania Halitaruhusiwa Kutunga Sheria Yeyote Ambayo Itabadili Makubaliano Yao Na Kodi Zote Zilizokuwa Zinafanya Kazi Wakati Wa Kuingia Makubaliano Hazitaweza Kubadilishwa Kipindi Chote Ambacho Barrick Watakuwa Tanzania

MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA BARRICK

1) Kodi Bilion 552 Wamesamehewa

2) Wataendelea Kuweka Hela Zao Benki Za Nje

3) Wataendelea Kutumia Mahakama Za Nje Kukiwa Na Mgogoro

4) Hawadaiwi Trilion 400 Ulikuwa Uongo

5) Hawatajenga Smelter Na Wataendelea Kusafirisha Mchanga Nje

Hivi Nyie Mnapambana Na UFISADI Au MNAIGIZA?

Mchokozi
 
Ina maana ktk makubaliano hayo mbna hamuelezi serikali itanufaik na kitu gani ...yaani maslahi hayasemwi ....yanasemwa maswaibu ya makubaliano .....nijuavyo mm ktk maridhiano yoyote Yale lazma kila pande ikubali kupoteza sehemu ya haki zake na kufaidika na baadhi ya mapendekezo .....lakin hpo naona upande mmja tu ..... utakuwa umekopi kwa zitto au umeamua kutoongea masilah ya serikali yatakuwaje
 
Hawa watu wapuuzi sana walijua watanzania tunafurahi wao wakigombana ndio maana wakavujisha ma clip yao ili tuwajadili tuache kujadili hili, aisee mkuu watanzania sio wajinga na unajua hilo...Tundu Lisu angerudi bado mbunge bunge lingenoga sana, ila waliobaki ni WAPUMBAVU watupu, kina Lema na Mdee wamepewa Likizo na NDUGU HAI...Mungu tusaidie sie.
 
Ulichokiandika ni sahihi lakini na wewe acha kubweteka nenda kasome ayo makubaliano uje utuambie mafanikio ya serikali kuliko kumtegemea mleta mada atueleze kila kitu. Yeye kaamua kuleta mambo ayo machache akitumia maono na tafakuri za Lissu wakati report ya kwanza imetoka.
 
Wakati Tundu Lissu Anasema Ripoti Ya Madini Ya Prof Osoro Ni PROFESSORIAL RUBBISH Mlimtukana, Mkambeza Na Kumpiga Risasi Sasa Nendeni Mkasome Makubaliano Kati Ya Barrick Na Serikali Yenu Ni Kichefuchefu Kitupu! Waliokua Wanapigana Vita Ya Uchumi Wamegaragazwa Vibaya Na Mabeberu

Serikali Na Kampuni Ya Barrick Wamekubaliana Kuwa Bunge La Tanzania Halitaruhusiwa Kutunga Sheria Yeyote Ambayo Itabadili Makubaliano Yao Na Kodi Zote Zilizokuwa Zinafanya Kazi Wakati Wa Kuingia Makubaliano Hazitaweza Kubadilishwa Kipindi Chote Ambacho Barrick Watakuwa Tanzania

MAKUBALIANO KATI YA SERIKALI NA BARRICK

1) Kodi Bilion 552 Wamesamehewa

2) Wataendelea Kuweka Hela Zao Benki Za Nje

3) Wataendelea Kutumia Mahakama Za Nje Kukiwa Na Mgogoro

4) Hawadaiwi Trilion 400 Ulikuwa Uongo

5) Hawatajenga Smelter Na Wataendelea Kusafirisha Mchanga Nje

Hivi Nyie Mnapambana Na UFISADI Au MNAIGIZA?

Mchokozi
Toka lini mwanasiasa uchwara akapigania maslahi ya nchi badala ya tumbo lake/Madaraka yake na genge lake? Ile tu kuwaita watanzania wenzake ni wasaliti na vibaraka wa beberu kisa wanaongea na kufikiri tofauti na yeye ilikuwa ni mwanzo wa kushindwa kwake?
 
Ina maana ktk makubaliano hayo mbna hamuelezi serikali itanufaik na kitu gani ...yaani maslahi hayasemwi ....yanasemwa maswaibu ya makubaliano .....nijuavyo mm ktk maridhiano yoyote Yale lazma kila pande ikubali kupoteza sehemu ya haki zake na kufaidika na baadhi ya mapendekezo .....lakin hpo naona upande mmja tu ..... utakuwa umekopi kwa zitto au umeamua kutoongea masilah ya serikali yatakuwaje
Tupe vitu tunavonufaika navo mkuu
 
Mkuu unawezaje kujadiri maslahi yako ukiwa umeshika makali? Baada ya kuwa proved that zile reports were real professior rubish kilichofata ilikuwa ni kumbembeleza tusishitakiwe ili kumprove wrong Tundu Lissu,tukiwaambie huyu mtu anajari madaraka yake zaidi kuliko kitu chochote,watu mnajifanya vichwa ngumu,subirini mtaona makubwa du,bado issue ya dawa substandard haijalipuka
 
Sijui kwa nini nimekuwa mvivu kusoma. Nasubiri summary za akina zito, nazo nizisome juu juu nije nilaumu... Mimi ni mtanzania lakini...
 
Jaman mbona uwanja WA bed WA kato huwa hauongelewi kwenye o2ba za b0c!!!!?Inasikitisha bwana.
 
Ina maana ktk makubaliano hayo mbna hamuelezi serikali itanufaik na kitu gani ...yaani maslahi hayasemwi ....yanasemwa maswaibu ya makubaliano .....nijuavyo mm ktk maridhiano yoyote Yale lazma kila pande ikubali kupoteza sehemu ya haki zake na kufaidika na baadhi ya mapendekezo .....lakin hpo naona upande mmja tu ..... utakuwa umekopi kwa zitto au umeamua kutoongea masilah ya serikali yatakuwaje
Barrick Imekubaliana Na Serikali Ya Tanzania Kulipa Bilion 700 Kwa MIAKA 7 Kama Malipo Ya Kumaliza Mgogoro Wote Na SIO Kishika Uchumba. Hata Hivyo Barrick Watalipa Fedha Hizi Baada Ya KUONDOA Kodi La Ongezeko La Thamani (VAT Refunds) Bilion 552 Ambayo Acacia INAIDAI Tanzania.
 
Hawa watu wapuuzi sana walijua watanzania tunafurahi wao wakigombana ndio maana wakavujisha ma clip yao ili tuwajadili tuache kujadili hili, aisee mkuu watanzania sio wajinga na unajua hilo...Tundu Lisu angerudi bado mbunge bunge lingenoga sana, ila waliobaki ni WAPUMBAVU watupu, kina Lema na Mdee wamepewa Likizo na NDUGU HAI...Mungu tusaidie sie.
Sasa kwa akili yako mpaka sasa hivi kinachojadiliwa ni kipi? Ona huu uzi una lisaa 1 lakini coment ni 18 tu,
Nenda sasa kule kwenye voice note! Hadi mnashindwa kuwapikia waume zenu
 
Ewe kiumbe kwa nini unateseka? Nawe ni MPUMBAVU? pole kama mkeo anakulisha saa 5 za usiku, sie tunakula saa moja usiku, saa hizi unasubiri kuanza ligi, JF, ina maana kubwa kuliko hizo voice note..Haya nawa mikono mkeo ndio anamaliza kuivisha DAKU.
 
Back
Top Bottom