Mkurugenzi Tarime akalia kuti kavu, kutumbuliwa wakati wowote kwa ufisadi aliofanya Masasi

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,939
141,914
Kabla haijafika mwisho wa probation 18/02/2022 Halmashauri ya Masasi imewasimamisha kazi wakuu wa idara watano na aliyekuwa DED ambaye sasa amehamishiwa Tarime jina lake limepelekwa kwa mamlaka yake ya uteuzi ili naye achukuliwe hatua.

Uchunguzi umebaini kuna ufisadi mkubwa umefanyika katika halmashauri ya wilaya ya Masasi.

Maendeleo hayana vyama!
 
4D888CD1-349E-40D3-A359-7DEBC58E1241.jpeg
 
Nyama Lazima Kala Urefu Wa Kamba Pesa Za Uviko Tu
Hapo sawa, na miradi mingi haieleweki imefikia wapi mfano mradi wa stendi mpya ambayo imekuwa ikiimbwa tangu wakati wa mwendazake
Binafsi naona kuna haja ya kumulika ipasavyo miradi yote ya maendeleo ndani ya Halmashauri ya mji/wilaya ya masasi
 
Back
Top Bottom