Tanzania imejitoa rasmi katika Mpango wa Uendeshaji wa Shughuli za Serikali kwa Uwazi (Open Government Partnership-OGP) hatua ambayo inazua wasiwasi kuhusu utekelezaji wa sera ya uwazi na...
Wakuu,
Awamu zote za serikali Ngorongoro haikuguswa kabisa!
Wamasai waliachwa kama urithi wa ikolojia ya asili kwa Watanzania.
Ngorongoro ilibaki kama utambulisho pekee asilia wa utamaduni wetu...
Watanzania,
Binafsi nampongeza Sana Ndugu yangu Maulidi kitenge kwa nondo zilizoshiba za kumjibu Shaka Hamdu shaka kuhusu Katiba Mpya na ushirikishwaji wake KWA wananchi!
Kitenge amemjibu shaka...
Dunia ni kijiji kinachoendeshwa kwa teknolojia
Tumwache Tundu Antipas Lisu aishi sehemu anayohisi yuko salama zaidi, Tusimpangie
Ameshapitia magumu mengi ikiwemo kuchungulia kaburi
Dominica njema
Kila mpinga "Rushwa"anaitwa ....
"Sankara Gangi" Tunalazimishwa na kuaminishwa...
Sankara alikuwa Mbaya na Mwizi!
Ili tu kumfurahisha aliyewekwa na waliomuondoa mpendwa wetu Sankara!
Waliokuwa...
Ukishasoma,uisikilize hii clip pia,ndio utaelewa ninamaanisha nini?
Imekuwa kawaida kwa Rais Samia,kukataa kuwasikiliza wananchi wenye kero zao,pale wanapofanikiwa kufika katika matukio ya...
Salaam Wakuu,
Leo sionglei hela za Wahujumu Uchumi kwenda kufichwa China na mchakato wa Investigating Plea Bargaining. Ni uzi mwingine ntaweka.
Kipindi anaenda kuchukua fomu ya kuomba...
Na WyEST,
BUTIAMA - MARA
Waziri wa Elimu, Sayansi na Teknolojia Mhe. Prof. Adolf Mkenda amekitaka Chuo Kikuu cha Mwalimu Julius K. Nyerere cha Kilimo na Teknolojia (MJNUAT) kilichopo Butiama...
Magufuli aliwezaje kuwashawishi bunge kila wizara aliyoitumikia kupita bila shida tena kwa asilimia zote, bunge lilijaa wapinzani tena wenye ushawishi hao kina mbowe, Lisu,lema, Mbatia...
MIRADI YA SEKTA YA AFYA ILIYOPATA FEDHA JIMBO LA IGUNGA KWA MWEZI FEBRUARI 2023
1. Zahanati ya Mtunguru (Kata ya Mtunguru) - Tshs. 46,600,000/-
2. Zahanati ya Igogo (Kata ya Nanga) - Tshs...
Salute wakuu,
Namtizama John pombe magufuli, mzalendo aliyetukuka,mwanajeshi mpambanaji,aliyekufa akiwa mstari wa mbele akilipambania taifa lake
Alikuwa rais kupitia CCM, lakini aliwachukia ccm...
[emoji843]Ufunguzi wa Mradi wa Maduka ya Darajani Souk.
[emoji843]Mgeni Rasmi: Dkt. Hussein Ali Mwinyi, Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi.
[emoji2733] 02:00 Asubuhi...
Duniani kote hakuna nchi imewahi kuendelea kwa kufuata demokrasia. Wazungu walitutupia demokrasia na kutulazimisha kuifuata si kwamba wanatupenda sana, ni kuwa walitaka tupate mkwamo tusiendeleee...
Kama ungewatafuta watu ambao ni ngumu sana kuwakuta wanashabikia watu hivi hivi ( sycophancy) mie ni mmoja wao. Nina tabia ya kuunga mkono watu wenye kitu( substantive).
Katika mizunguko yangu ya...
Kipigo cha tatu bila kwa timu ya Simba kimenifanya niiangalie tena video ya Mchungaji Komando Mashimo kwa sasa anayejiita Nabii Mikaya aliyemuomba Rais Samia awalipie deni Simba na Yanga ili...
Ilianza kidogo kwa Tanesco tukaambiwa matengenezo makubwa ya kubadili nyaya na marekebisho ya mitambo kinyerezi na ile ya kufua umeme na hata mitambo ilizimwa ili kufanya jambo lionekane la...
Mgodi ambao unatema kila siku.
Mgodi ambao wenyeje wanaachwa na maandaki bila kubaki na chochote. Mgodi ambao wajinga ndio wanaofanyishwa kazi na werevu wanahepa na dhahabu za kunufaisha Taifa...
Toka kuruhusiwa kwa mikutano ya hadhara ya vyama vya siasa, haya ndio waliyoyazungumza CHADEMA kwa ujumla wake.
Hii ndio summary ya mikutano ya chadema na mada wanazozungumza.
Hiki chama...