Mzee Lowassa yuko wapi?

The Humble Dreamer

JF-Expert Member
Oct 12, 2015
1,219
2,000
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
 
Jamalm335

JF-Expert Member
Aug 5, 2015
2,228
2,000
Mwacheni tu apumzike mzee wa watu. Kazingua sana kwenye game huyo bwana. Kazunguusha watu mikono weee alafu kala chocho dah
tatizo tumbo nalo lina mikono na fikra zake zinazojitegemea. Japo mikono yake ya nje ilizunguka, ya tumbo haikuwa tayari kuzunguka. Msameheni tu mzee, muacheni ale siku zake za mwisho kwa majuto ya matendo yake, ni adhabu tosha hiyo.
 
Zambotti

JF-Expert Member
Jul 2, 2016
1,623
2,000
tatizo tumbo nalo lina mikono na fikra zake zinazojitegemea. Japo mikono yake ya nje ilizunguka, ya tumbo haikuwa tayari kuzunguka. Msameheni tu mzee, muacheni ale siku zake za mwisho kwa majuto ya matendo yake, ni adhabu tosha hiyo.
Ndo maana unakuta anapotea namna hii. Hata akija mbele ya camera kuna kitu gani kikubwa cha kusema mpaka asikilizwe.
 
Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
89,315
2,000
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Mara ya mwisho alionekana na huyu bwana mkubwa
Screenshot_20200516-063031.jpeg

In God we Trust
 
Bana likasi

JF-Expert Member
Jan 7, 2020
6,058
2,000
Wakuu Salaam;

Mzee wetu wa siku nyingi katika Nchi yetu hasa katika tasnia ya Siasa kawa kimya sana.

Nimeona nimuulizie sababu ni muhimu kujua hawa Viongozi wamepotelea wapi, wana mchango mkubwa sana nchini.
Wengine wanasikika mara kwa mara hata kama Covid-19 ipo hewani.

Anayejua yuko wapi atupe mbili tatu siku iishe haraka.
Ametulia kwake Hana hamu walichomfanya ccm.Aliwekeza pesa nyingi Sana ili awe raisi zikaenda hasara
 
Ngariba1

JF-Expert Member
Jan 12, 2017
760
1,000
πŸ˜†πŸ˜†lilivuma sana kwenye groups zetu! Kiukweli sijui nisemeje..kama kuna watu walijitoa ufahamu bas mimi kipande hii naongozaπŸ˜†πŸ˜†..najiona mjinga sana...kumamaye zake
πŸ˜†πŸ˜†dadeki umemmind kinoma. Mimi ule mwaka sikuwa na upande. Niliona pande zote zilikuwa hasara tu.

Jamaa angu ulikuwa humwambii kitu kwa ngosha. Sasa hivi hana hamu nae.
 
Toa taarifa ya maudhui yasiyofaa!

Kuna taarifa umeiona humu JamiiForums na haifai kubaki mtandaoni?
Fanya hivi...

Umesahau Password au akaunti yako?

Unapata ugumu kuikumbuka akaunti yako? Unakwama kuanzisha akaunti?
Contact us

Top Bottom