Hivi Israel ilikusudia nini kuingia kimafia kwenye kikao cha Umoja wa Afrika kule Ethiopia?

Mmawia

JF-Expert Member
Aug 20, 2013
121,947
95,237
Askari wa kikosi cha kulinda usalama wa nchi za Afrika wameweza kugundua hilo.

Mashushu wa Irael walifanikiwa kuingia ktk kikao cha viongozi wa umoja wa Afrika kinacho endelea nchini Ethiopia.

Watu hao waliingia kwa kutumia Hati za kusafiria na vitambulisho vya bandia ili kuweza kuingia kwenye ukumbi wa kikao hicho.

Kwa ushupavu wa askari wetu ( Afrika ) waliweza kuwabaini na kuwatoa nje ya kikao.

Je, nini walikusudia kuapata kutoka kwenye kikao cha viongozi wa Afrika?

Je, inawezekana wamekuwa wakifanya hivyo mara nyingi?

Tafadhali kwa mwenye uelewa wa hili jambo walilokusudia kulifanya mara baada ya kupata yaliyokuwa yanaendelea kwenye kikao cha viongozi wetu.

Screenshot_20230219-145435_Instagram.jpg
 
Askari wa kikosi cha kulinda usalama wa nchi za Afrika wameweza kugundua hilo.

Mashushu wa Irael walifanikiwa kuingia ktk kikao cha viongozi wa umoja wa Afrika kinacho endelea nchini Ethiopia.

Watu hao waliingia kwa kutumia Hati za kusafiria na vitambulisho vya bandia ili kuweza kuingia kwenye ukumbi wa kikao hicho.

Kwa ushupavu wa askari wetu ( Afrika ) waliweza kuwabaini na kuwatoa nje ya kikao.

Je nini walikusudia kuapata kutoka kwenye kikao cha viongozi wa Afrika?

Je inawezekana wamekuwa wakifanya hivyo mara nyingi ?

Tafadhali kwa mwenye uelewa wa hili jambo walilokusudia kulifanya mara baada ya kupata yaliyokuwa yanaendelea kwenye kikao cha viongozi wetu.View attachment 2522941
Kwamba ni Mosadi hao au walijifana Mosadi
 
Mkipata Habari jaribuni pitia hata kwenye vyanzo kuliko kukurupuka.

Ni kweli hili swala limetokea na Mwakilishi wa Israel amezuiwa kuingia katika Ukumbi, hapo Awali Israel iliomba Nafasi ya Uangalizi AU, nchi zote kasoro S.Afrika na Algeria ndo walikataa.

Mwanamama huyo ameondolewa, AU wamesema kuwa bado hawajaamua kuhusu kuiruhusu Israel kuwa Mwangalizi katika Umoja huo.
 
Walioingia kimagendo watimuliwa!
 
Walitaka kujua viongozi wa Peasants wanapanga nini juu ya matumizi ya Ardhi,maana Wazungu wanahitaji Ardhi ya kuwekeza kwa udi na uvumba!
 
Ujasusi ndio Habari ya town Dunia ipo kwenye hali mbaya na pasipo kuwa na ujasusi Dunia italipuka...
Minutes za kikao ni muhimu kwa mipango ya mataifa yenye nguvu duniani
 
Swafiiii sana kutimuliwa I guess hawa kuamini
Hii mijitu imewekeza sana kwenye mbolea na mbegu!
Hivyo wa kutu okoa hapa ni Mwenye Enzi Mungu mwenyewe walahi
 
Israel imesema itamuita Balozi wa SAfrikca nchini Israel ili ajieleze kwanini nchi yake inapinga Israel kupewa Uangalizi.

Algeria hataitwa sababu ana beef na Israel
Kwani lazima? Yeye Israel anapinga mangapi kwa nchi zingine?
 
Walitaka kujua viongozi wa Peasants wanapanga nini juu ya matumizi ya Ardhi,maana Wazungu wanahitaji Ardhi ya kuwekeza kwa udi na uvumba!
Kwamba Israel wakitaka wanashindwa?
Hujui ndio wanatuuzia Pegasus na Celebrite?
 
Mkipata Habari jaribuni pitia hata kwenye vyanzo kuliko kukurupuka.

Ni kweli hili swala limetokea na Mwakilishi wa Israel amezuiwa kuingia katika Ukumbi, hapo Awali Israel iliomba Nafasi ya Uangalizi AU, nchi zote kasoro S.Afrika na Algeria ndo walikataa.

Mwanamama huyo ameondolewa, AU wamesema kuwa bado hawajaamua kuhusu kuiruhusu Israel kuwa Mwangalizi katika Umoja huo.
Mbona nimesikia kuwa AU walitoa mualiko kwa balozi wa israel aliyoko Ethiopia,na huo mwaliko ni kwa balozi tu hivyo hauwezi hamishiwa kwa mtu mwingine,hivyo balozi akamtuma mwakilishi wake ndipo wakamzuia.
 
Ujasusi ni Nyanja pana sana hata kwenye kilimo cha Matikiti huko Ikungulyabashashi Upo...
 
Back
Top Bottom