ACT: Sisi ndio tumeongea na Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara, Walioficha Fedha China Wavuliwe Ujaji na kukamatwa!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,998
142,023
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara

Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale Walioficha Fedha China na kuwafungulia Mashtaka mara moja

Source ITV habari
 
Ile mara moja alipokutana nao dakika 45! kweli hawa ni Mufti wa kiarabu. Hivi mkutano wao walifika watu wangapi?
 
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara

Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale Walioficha Fedha China na kuwafungulia Mashtaka mara moja

Source ITV habari
CCM chama cha majizi, hamna hata mmoja atakaye chukulliwa hatua
 
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara

Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale Walioficha Fedha China na kuwafungulia Mashtaka mara moja

Source ITV habari
Saga kunguni
 
Zitto chadema ilimbeba kisiasa, yupo hapo kwa sababu ya chadema, baada ya kutoka chadema, kafanya lipi la maana? Kama siyo kuwa mdini zaidi na sielewi kwa nini asiwe shekhe wa msikiti pale kigoma! ni mtu mweupe mno na hawezi kila kitu isipokuwa udini! Aendelee hivyo hivyo kujilaza ubavuni mwa CCM la sivyo atasahaulika haraka sana
 
Tundu Lissu na mbowe walidandia gari kwa mbele baadae, Zitto alionekana mapema sana na Mama samia wakasema ananunuliwa hatimae naye Lissu akajipeleka kwa mama belgium lakin Mbowe break ya kwanza Ikulu alipotoka kuele mahali

Zitto yuko sawa kabisa.
 
Zitto chadema ilimbeba kisiasa, yupo hapo kwa sababu ya chadema, baada ya kutoka chadema, kafanya lipi la maana? Kama siyo kuwa mdini zaidi na sielewi kwa nini asiwe shekhe wa msikiti pale kigoma! ni mtu mweupe mno na hawezi kila kitu isipokuwa udini! Aendelee hivyo hivyo kujilaza ubavuni mwa CCM la sivyo atasahaulika haraka sana
Video hiyo hapo chini 👇

Hivi ni mpinzani gani asiekuwa CCM? Mbona huyu alifikia hatua ya kuropoka kabisa bila kumung'unya wala kupepesa macho tena mbele ya maelfu ya chawa wake kuwa yeye ni CCM. Jaribu kuiweka akili yako huru na utafakari vizuri kauli ya "wanachama wenzangu wa chama cha mapinduzi". Mpaka hapo inaonesha kuwa jamaa ni mwanachama wa chama cha mapinduzi (CCM) na huenda ana kadi kabisa kaificha.

Zito anaweza kuwa CCM lakin ana kifua cha kuhifadhi siri. Ila Mbowe chupa mbili tu za konyagi katoa siri yote kwamba yeye ni CCM 🤣🤣🤣.
 
Attachments

  • 5218795-900eac709d849ea146fff30dcf48cf3c.mp4
    4.1 MB
Kama ni wao sasa iweje?, leteni sela acheni kutafuta Kiki, tunataka sela tuone tulichokimiss miaka 7.
 
Mwenyekiti wa ACT Wazalendo mzee Juma Duni Haji amesema wao ndio walimshawishi Rais Samia hadi akakubali kuruhusu Mikutano ya hadhara

Naye KC Zitto Kabwe ameitaka serikali kuwavua Ujaji wale Walioficha Fedha China na kuwafungulia Mashtaka mara moja

Source ITV habari
Kama viongozi wa ACT wamefikia hatua ya kujisifu kuwa wa kwanza kukutana na raisi, badala ya kueleza sera za chama chao. Basi hapo hakuna chama, bali kuna kichaka cha wanasiasa uchwara.
 
Back
Top Bottom