Unaweza ukajiuliza kwanini Manaibu Waziri walitokea upinzani watabakia hapo na hawawezi kupanda kwa mawaziri yaani wawe ndani baraza la Mawaziri linaloketi na kujadili, kumshauri na kupitisha...
MHE. JULIANA SHONZA, MBUNGE (UWT) CCM VITI MAALUM MKOA WA SONGWE AFANYA ZIARA YA KIMKAKATI
Katika ziara yake iliyoanza mnamo tarehe 18 Februari, 2023 Mhe. Juliana Daniel Shonza alifika Wilaya ya...
Siyo Kwa sababu ni mwanamke mwenzangu, hapana ni Kwa sababu ni mama na ni kiongozi anaewakilisha vyema maana ya utawala wa demokrasia.
Mtaongea vibaya juu yake, yeye kimya na kupiga Kazi...
Tanzania inahitaji viongozi wanaothubutu kuchukua hatua Kama kijana huyu,
Pesa zinatafutwa kwa shida Sana na Rais wetu Dkt Samia Suluhu Hassan lakini zinatumiwa vibaya na baadhi ya Watendaji...
Tundu Lisu anajua kutoka moyoni kwa uhakika kabisa kwamba Magufuli hakuhusika na shambulio lake lkn kwa kuahidiwa hela akakubali kulichafua Jina la Magufuli kwa kumsakizia mambo ya uongo...
Tujiulize tu kwa sababu siyo Watanzania wote ni wajinga. CHADEMA kwa sasa ndio wamelishikia bango Katiba mpya lakini ni CHADEMA hawahawa walikula posho Bunge la Katiba na kukimbia mchakato.
Ni...
Ni siku 702 tangu Rais Samia Suluhu akabidhiwe majukumu ya kuliongoza Taifa la Tanzania. Katika kipindi kifupi cha uongozi wake ameonyesha utayari wake wa kupunguza au kumaliza changamoto za elimu...
Kuanzia asubuhi ya leo wafasiri na wasindikizaji watatakiwa kulipa kodi ya kuingia stand ya kimataifa ya Magufuli iliyoko mbezi Louis jijini Dar es Salaam.
Utatakiwa kununua kadi (once use) pale...
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk. Hussein Ali Mwinyi amekutana na Askofu Mkuu wa Kanisa la Waadventista wa Sabato, Jimbo Kuu la Kaskazini mwa Tanzania Dkt. Mch. Godwin...
Vikiitwa vibao vya anuani ya makazi eti vitasaidia kuongeza maendeleo ya jamii na mtu mmoja mmoja hapa nauliza nani mpaka sasa amefaidika navyo maana tulitumia bilioni 692 pesa za walipa kodi ...
Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji alisema Shaka,
Kwa msisitizo alisema, Nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya...
Serikali imeanza uchunguzi wa ukwapuaji wa mabilioni ya shilingi uliofanywa na Serikali ya Rais John Magufuli, kupitia alichoita, “Sheria ya Plea Bargain," Raia Mwema imeelezwa. Taarifa kutoka...
Shortly,
Tumesikitishwa sana na hawa vijana wenzetu wa Chama cha Mapinduzi (CCM) walioamua kuidhalilisha taasisi nyeti ya Urais Tanzania huenda kwa kujua au kutokujua,
Nikweli, Tunafahamu Rais...
Ndugu zangu Watanzania,
Kiongozi Bora ni yule mwenye uwezo na ubunifu wa kuonyesha na kuongoza njia. Ni yule awezaye kutangulia mbele na kufuatwa na wengine. Ni yule awezaye kuwa na dira na...
Leo wakati Mheshimiwa Rais Samia anazindua TUME ya HAKI amelizungumzia Suala La FEDHA za PLEA BARGAIN lililokuwa linashughulikiwa na OFISI ya DPP ikishirikiana na MAHAKAMA
RAIS amesema baadhi ya...
Hakuna ubishi tena kuwa Kikosi Kazi cha Profesa Mkandala na Zitto Kabwe ndio kimepelekea Mbowe kutolewa Jela na Mikutano ya hadhara kuruhusiwa
Wote tulimsikia Zitto Kabwe akimuombea msamaha Mbowe...
MHE. ESTHER MALLEKO MADAWATI 40 YA MILIONI 1.6 SHULE YA WASICHANA SEKONDARI YA ASHIRA
Mbunge wa Viti Maalum Mkoa wa Kilimanjaro, Mhe. Esther Malleko amechangia Madawati 40 Shule ya Sekondari ya...
Chadema inapewa adhabu na wananchi, wananchi wameigomea jumla. Leo nilikuwa singida kuthibitisha hili. CCM imepokelewa na maelfu ya watu kwenye mkutano wao, wakati huo huo wananchi wachache mno...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.