Chombo ya Shujaa Magufuli MV Mwanza kushushwa Majini Kesho, Wafanyabiashara wakubwa kutoka Uganda na Sudan kushuhudia!

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,982
141,997
Mtanikumbuka kwa Mema!

Kesho Jiji la Mwanza litazizima wakati Meli kubwa MV Mwanza " Chombo ya Magufuli" itakaposhushwa Majini

Tukio hilo litashuhudiwa na mamilioni ya Wapenda maendeleo wakiwemo Wafanyabiashara wakubwa kutoka Uganda na Sudan Kusini

MV Mwanza ina uwezo wa kubeba abiria 1200, Mizigo tani 400 na Magari 20

ITV na Star tv wameielezea kwa kina taarifa hii muhimu
 
Makamanda uchwara huwa wanatibuka sana wakisikia Magufuli.
 
Hapana Ni Pesa Za Walipa Kodi Wote Tanzania
Mkuu Ccm Imezoea Kuaminisha Watu Uongo Kila Kinachofanyika Utaambiwa Kazi Ya Mama Hiyo Wakati Kazi Zake Zipo Home

Hiyo Ndiyo Inayofanya Wasomi Hawajiamini Ila Katiba Mpya Inaweza Kuondoa Ukakasi
Hii nchi ipo hapa ilipo kwasababu wajinga ni wengi.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom