Perry
JF-Expert Member
- Feb 24, 2011
- 10,043
- 2,000
Abdullahim Amer ni jina la mtoto wa kiume wa Rais Samia.
Huyu kijana ana biashara ya kuuza matairi ya magari pale livingstone Kariakoo. Toka mama yake aingie madarakani amekuwa tatizo sana kwa maofisa wa TRA wanaojaribu kutekeleza majukumu yao pale Kariakoo kwa sababu anafanya biashara pasipokufuata taratibu na miongozo ya nchi yetu, hatoi risiti kwa wateja wake wala yeye mwenyewe hajali hilo anashirikiana na kampuni za wachina kukwepa kodi.
Mfano tukio la hivi karibuni ni la bwana Abdulhalim kununua mzigo wa matairi kwenye kampuni flani ya wachina iko Mikocheni inaitwa Hiview international co ltd bila risiti, ule mzigo kufika Kariakoo maofisa wa TRA wakaukamata kwa sababu haukuwa na risiti wala invoice WALA DOCUMENT yoyote. So baada ya masaa kama mawili hivi ya kuzozana pale, wale maofisa wakapigiwa simu kutoka juu wakaambiwa wauachie huo mzigo haraka sana kwani ni wa mtoto wa mheshmiwa.
Kuna kesi nyingi za aina hiyo ambazo huyu kijana amekuwa akizifanya na anapokuwa anatafutwa na vyombo husika basi hutumia jina la mama yake kujinasua. Sijasema kwamba Rais Samia anahusika na huu upuuzi wa mwanae ila jina lake kutumika kumnasua kila akipata majanga inaleta mashaka sana kwani haya mambo wananchi wa kawaida wanayaona live na yanaleta mkanganyiko sana pale Kariakoo.
Kwa hiyo mama Samia najua humu kuna machawa wako wengi tu, jaribu kukaa na mwanao umrekebishe, hizo vurugu zake hapo Kariakoo zinawapa shida sana maofisa kutekeleza majukumu yao.