CHADEMA iko moyoni

Mubby777

JF-Expert Member
Oct 17, 2018
1,638
5,646
Niseme ukweli hiki chama kiko moyoni

Nilikuwa chadema active 2005-2015 lowasa aliposhindwa niliumia sana

Nowdays nimekikita kwenye biashara so hapa kati mwendazake alivyokuwa anafutilia mbali niliacha kabisa hata kuongelea mambo ya siasa watu wasijenichoma biashara ikaletewa kodi ya billion na tra

2010 nilitia nia kugombea kupitia CCM(ili nijisafishe maana watu wa tangu zaman wanajua me chadema so ili kutoa huyo dhana kichwan mwao nikatia nia)

Baada ya hapo nikaachana kabisa na mambo ya siasa

Ila niwe mkweli tangu juzi naangalia nyomi la tunduma/mbeya na mikoa mingine wanayopiga ziara najikuta mwili unasisimka mpk moyo unapata aman

Nahisi nakipenda hiki chama na kiko moyon kabisa

CHADEMA nimeamini ilijengwa kwenye mioyo ya watu

People's
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom