SOVIET UNION
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 510
- 1,402
Sijawawahi sikia Mama akiongelea suala la ufisadi hata ile ya Crocodile tears, ile ya kuzuga unaumizwa na jambo fulani kumbe moyoni unalifurahia.
Kama Mkuu wa nchi kuna vitu anapaswa kuvikemea wazi wazi hata kama in reality hawezi kupambana navyo, sasa mtaani watu wanajipimia kwa urefu wa kamba zao wakiamini Mama yuko nao au anawaunga mkono.
Kikwete na usanii wake aliwafunga Mramba na Daniel Yona hata kama ilikuwa ni kanya boya ila alijaribu ile ya Crocodile tears. Sasa Mama vipi yeye?