Rais Samia anaishi mbele ya wakati

Lucas Mwashambwa

JF-Expert Member
Jul 28, 2022
15,305
9,734
Ndugu zangu watanzania,

Hivyo Ndivyo unavyoweza kusema kuwa ukimsikiliza vizuri Rais Samia maneno yake, mikakati yake,matendo Yake, kauli zake, mambo aliyoyafanya na anayoendelea kuyafanyia unaona Ni kiongozi na Ni Rais anayeishi mbele ya wakati tuliopo,Jambo ambalo ni la bahati Sana kwetu watanzania,kwa kuwa anafanya vitu na mambo makubwa ambayo manuufaa yake yatatunufaisha kwa miaka mingi Sana ijayo na kuliinua Taifa letu.

Hatua ya Rais Samia na serikali Yake kuja na kauli mbiu ya kilimo Ni biashara Ni maono ya Mbali Sana,Ni kuishi mbele ya wakati,Ni kujenga kesho iliyo njema kwa kundi kubwa la watanzania wanao tegemea kilimo, kwa kuwa hatua hii imekopa thamani kilimo,imewavuta watanzania wengi kujiajiri katika kilimo,imeinua hadhi ya mkulima,imeleta nuru katika maisha ya mkulima, imechochea uzalishaji mkubwa wa mazao mbalimbali, imewavutaa vijana wengi kujiunga katika shughuli za kilimo.

Hali hii na hatua hii itachochea mapinduzi ya viwanda hapa nchini kutokana na kuwepo kwa malighafi ya kutosha na hivyo kusaidia ongezeko la ajira nyingi Sana hapa nchini,ongezeko la mapato, kushamiri kwa biashara,n.k, hivyo Tanzania ya viwanda itakuja kirahisi Sana kwa maono haya ya Rais wetu Jasiri mzalendo,shupavu na madhubuti Mama Samia Suluhu Hassan,Ndio maana nikasema kuwa Rais Samia Anaishi mbele ya wakati Tuliopo,Anaona ambako wengine wenye akili za kuangalia leo hawawezi kuona aonako Rais samia.

Pili kitendo Cha Rais Samia kutoa Elimu bure Hadi kidato Cha sita pamoja na kuongeza bajeti ya mikopo ya Elimu ya juu kufikia billioni 654 Ni maono ya Mbali ,Ni kuishi mbele ya wakati ,Ni kuwatangulia uwaongozao,kwa kuwa ili Taifa liendelee Ni lazima watu wake wawe na Elimu na ujuzi wa kutosha,ukubwa na nguvu ya nchi au Taifa halitegemei ukubwa wa kilometa zake au ardhi yake au wingi wa watu au Mito ,Bali nguvu na maendeleo ya nchi yoyote Ile inategemea Elimu ,maarifa na ujuzi walionao watu wake ambao wanaweza badilisha changamoto na matatizo kuwa fursa,wanaoweza badilisha jangwa kuwa chemchem itiririshayo maji ,wanaoweza Lima matunda jangwani na kuwauzia wale waliozungukwa na Mito Bahari na maziwa kutokana na uduni wa Elimu maarifa na ujuzi wa watu wake kushindwa kutumia Rasilimali zao.

Ndio maana hapa Duniani Kuna nchi zimezungukwa na milima mitupu na kila mwaka Zina kumbwa na matetemeko ya ardhi lakini zinamaendeleo makubwa Sana ya kiuchumi na kiteknolojia na zinatoa misaada kwa manchi makubwa Sana kutokana na kuwekeza katika Elimu kwa watu wake, kutokana na kuipa kipaombele Elimu na kuithamini Elimu.

Ndio maana Leo hii Rais Samia anawekeza katika Elimu ili Tanzania ya kesho ijengwe na watanzania katika kila mradi kuwe na watanzania pekee na pesa zote zibakie hapahapa nchini na kuongeza mzunguko wa fedha mtaani badala ya kuwalipa wakandarasi wa kigeni wanaopeleka mapesa yote makwao,ndio sababu ya kusema Rais Samia Anaishi mbele ya wakati ,maana itafika wakati hatutahitaji Tena wakandarasi wa kigeni,au kusafirisha na kupeleka wagonjwa nje ya nchi,au kutafuta washauri wa masuala ya kisheria au kihasibu kutoka nje ya nchi, hatutahitaji Tena mafundi wa kifaa chochote kile kutoka nje ya nchi.

Ndio maana watanzania wanaendelea kumuunga Sana mkono Rais Samia ,kwa kuwa Ameonyesha dira na muelekeo unaoeleweka na wenye tija kwa Taifa letu,Ameonyesha kuwa yeye Ni kiongozi kwa kuzaliwa na anayejuwa wapi Taifa hili linapaswa kuwa kimaendeleo,anajuwa Ni wapi watanzania tunapaswa kuelekea, njia ya kupita na kufuata,anajuwa kipi kianze na kipi kifuate,anajuwa Ni wapi papelekwe hela kwa ajili ya kugusa maisha ya wengi na kuleta matumaini na Tabasamu Katika Mioyo ya watanzania.

Hakika Rais Samia Ni zawadi kwetu watanzania tunayopaswa kujivunia na kuiheshimu Sana,Ni Rais na kiongozi aliyejaliwa na Mwenyezi MUNGU kipawa na karama ya uongozi,Ni kiongozi mwenye uzalendo wa dhati,Ni kiongozi shupavu imara na madhubuti Sana, Nikiongozi mwenye ndoto ya kuipeleka nchi hii mbele,Anatamani siku moja Tanzania iwe Kama ulaya na iwe mfano wa kuigwa Barani Afrika na Dunia nzima kwa ujumla,Anataka Tanzania iwe miongoni mwa nchi Tajiri na itakayo toa misaada kwa wenye shida na kuelemewa na matatizo, Najivunia kuongozwa na Rais Samia,Nafurahi kuona Rais Samia alizaliwa Tanzania na kuwa mtanzania,Nafurahi kuandika historia ya kuuona uongozi wa Rais Samia ambao Ni Mfano Wa kuigwa na Rais mwenye ushawishi zaidi Barani Afrika na mwenye Akili maarifa na upeo wa kiuongozi .

Kazi Iendeleee, mama Ametufikia na kuwafikia watanzania kwa utumishi wake uliotukuka wa kugusa maisha ya watanzania wanyonge wasio na sauti.

Lucas Hebel Mwashambwa, kijana mzalendo na mpenda nchi yangu.

0742-676627
 
Ni kweli kabisa wala hujakosea. Wanaobisha wabishe. Wanaobisha waambie wapitie hii
 
Chawa Lucas Mwashambwa bingwa wa kujitoa ufahamu. Hivi hata aibu huna?
 
Nachoshukuru kwa sasa nanunua mahindi ya bei rahisi kwa 750 per kilo na naenda kuuza mjini 1300 per kilo
 
Honestly mimi sijawahi kuwa fonder wa watangulizi wa Rais Samia, lakini huyu mama anajitahidi sana. Kwanza ni mkweli na muwazi, hana janjajanja, ni mtu ambaye unaweza bet kwa dhamira yake, ana upendo wa dhati na nchi yake, lakini kikubwa ana focus sana na mambo yake. Mnyonge mnyongeni haki yake mpeni.
 
Hakika Rais Samia Ni Rais mwenye upendo na uzalendo mkubwa Sana na Taifa letu
 
Mzee Mwinyi, mzee Kikwete na mama Samia. Wote hawa wana mioyo ya kiungwana iliyofungamanishwa na imani zao za kiislam.

Hii mibaba mitatu ya bara. Sijui imeathiriwa na ubara ama imaninya ule upande?? Funga kazi ilikuwa ni yule chizi wa kihutu.
 
Back
Top Bottom