Ukifuatilia Hotuba zao utagundua ACT Wazalendo ndio Wanajua Msingi wa Maridhiano, CHADEMA ni kama Wamechomekwa tu na CCM

johnthebaptist

JF-Expert Member
May 27, 2014
83,940
141,915
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM

Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi ya Katiba ya sasa. Unaposema Rais ana Madaraka makubwa ni lazima ufafanue na kutoa sababu, Tanzania Siyo nchi ya kifalme hivyo ni lazima Rais atakuwa na Madaraka makubwa

ACT Wazalendo katika kila mkutano wanatoa madhaifu ya serikali ya JMT na wanaeleza wazi kwanini Zanzibar yenye Mamlaka kamili itauponya Muungano

Ifike mahali Chadema wakubaliane Vipaumbele vyao badala ya kucheza Ngoma ya CCM kwa mirindimo ya ACT Wazalendo

Mungu wa mbinguni awabariki!
 
Rubbish!
 
Wanaojua wasihudhurie, ila waliochomekwa ndio wawe sterling wa mazungumzo, bwashee unaona kuchomekwa rahisi sana?

Basi kawachomekeni UDP.
 
Kabisa, halafu ACT wametulia sana kwenye Siasa zao, hawana oyaoya, pale makao makuu uko na cheo gani?
 
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM

Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi ya Katiba ya sasa. Unaposema Rais ana Madaraka makubwa ni lazima ufafanue na kutoa sababu, Tanzania Siyo nchi ya kifalme hivyo ni lazima Rais atakuwa na Madaraka makubwa

ACT Wazalendo katika kila mkutano wanatoa madhaifu ya serikali ya JMT na wanaeleza wazi kwanini Zanzibar yenye Mamlaka kamili itauponya Muungano

Ifike mahali Chadema wakubaliane Vipaumbele vyao badala ya kucheza Ngoma ya CCM kwa mirindimo ya ACT Wazalendo

Mungu wa mbinguni awabariki!
Act wazalendo walikuja vizuri sema Udini ilishaingia kwa kasi sana

USSR
 
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM

Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi ya Katiba ya sasa. Unaposema Rais ana Madaraka makubwa ni lazima ufafanue na kutoa sababu, Tanzania Siyo nchi ya kifalme hivyo ni lazima Rais atakuwa na Madaraka makubwa

ACT Wazalendo katika kila mkutano wanatoa madhaifu ya serikali ya JMT na wanaeleza wazi kwanini Zanzibar yenye Mamlaka kamili itauponya Muungano

Ifike mahali Chadema wakubaliane Vipaumbele vyao badala ya kucheza Ngoma ya CCM kwa mirindimo ya ACT Wazalendo

Mungu wa mbinguni awabariki!
Usipende kumtaja Mungu kwa mambo mepesi na kisiasa kama haya.
Acha.
 
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM

Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi ya Katiba ya sasa. Unaposema Rais ana Madaraka makubwa ni lazima ufafanue na kutoa sababu, Tanzania Siyo nchi ya kifalme hivyo ni lazima Rais atakuwa na Madaraka makubwa

ACT Wazalendo katika kila mkutano wanatoa madhaifu ya serikali ya JMT na wanaeleza wazi kwanini Zanzibar yenye Mamlaka kamili itauponya Muungano

Ifike mahali Chadema wakubaliane Vipaumbele vyao badala ya kucheza Ngoma ya CCM kwa mirindimo ya ACT Wazalendo

Mungu wa mbinguni awabariki!
Ukiona tu genge la mboga mboga wanakisifia chama flan baas tambua hapo ni kulwa na doto!! Mboga mboga mmbaya wao ndie wanadili nae mitandaon na kila angle!!!
 
Ukifuatilia Hotuba za Freeman Mbowe, mh Othman Masoud na mzee Duni Haji utagundua Mbowe hata hajui wanachoridhiana na CCM

Mbowe anasema tunahitaji Katiba Mpya bila kuainisha mapungufu ya Msingi ya Katiba ya sasa. Unaposema Rais ana Madaraka makubwa ni lazima ufafanue na kutoa sababu, Tanzania Siyo nchi ya kifalme hivyo ni lazima Rais atakuwa na Madaraka makubwa

ACT Wazalendo katika kila mkutano wanatoa madhaifu ya serikali ya JMT na wanaeleza wazi kwanini Zanzibar yenye Mamlaka kamili itauponya Muungano

Ifike mahali Chadema wakubaliane Vipaumbele vyao badala ya kucheza Ngoma ya CCM kwa mirindimo ya ACT Wazalendo

Mungu wa mbinguni awabariki!
So what?
 
Ni nadharia ya kiuchumi yenye kufikirisha kuwa ugumu wa maisha humfanya mtu ahame kwenda katika matumizi ya " giffen goods" kwa kushindwa kuendana na mahitaji ya "luxurious googs" ili aweze kukidhi uwezo wake wa kimanunuzi.

Lakini mapungufu ya nadharia hii haitupi picha ya wazi kuhusu athari za kiakili na kisaikolojia kwa yule ambaye hataki kuamini na wala hana uhiyari wa kuhama, bali kukaidi na kuzidi kung:ang'ania mazoea aliyokuwa nayo hapo awali, ya kutaka kutumia matumizi yasiyoakisi kipato chake.

Sasa, sasa, sasa!
Nyuzi nyingine zikipanda hapa jukwaani, humchorecha na kuonyesha kabisa mleta nyuzi anavyokabiliwa na madhara ya kiakili kwa kuzingatia mantiki nyuma ya nadharia hiyo ya kiuchumi.

Ebu zama mwenyewe kwenye Google Search Engine ili upate kujua kwa nini mtu akianza kwa ghafla kula kila siku kiporo cha makande kama kifungua kinywa, huku tumbo likimnguruma kwa gesi nzito, anathirika ki vipi kifikra kwa kukosa kupata kifungua kinywa cha haja chenye virutubisho vyote vya haja.

Mbatizaji, baadhi ya nyuzi zako hufikirisha kama upo kwenye mtanziko nyuma ya nadharia hiyo.
 
Back
Top Bottom