Iringa: Wamachinga waandamana wakitaka Mchungaji Msigwa arejeshewe Ubunge wake ili awatetee

Erythrocyte

JF-Expert Member
Nov 6, 2012
117,753
218,366
Hii ndio taarifa mpya kwa sasa kutoka Mjini Iringa, ambako kunafanyika Maandamano Makubwa ya Wamachinga wanaotaka Mchungaji Msigwa arejee Bungeni Jumatatu asubuhi ili akawatee kama awali.

Haifahamiki inawezekanaje takwa lao hilo kukubaliwa, maana Mbunge wa sasa wa Iringa Mjini ni Msabatavangu, ambaye badala ya kutetea wamachinga, yeye amejipambanua kama mtetezi wa nguvu za kiume Bungeni.

Bado haijafahamika mwisho wa Maandamano hayo itakuwa nini.

Hii ndio Taarifa mpya kwa sasa kutoka Mjini Iringa , ambako kunafanyika Maandamano Makubwa ya Wamachinga wanaotaka Mchungaji Msigwa arejee bungeni Jumatatu Asubuhi ili akawatee kama awali .

Haifahamiki inawezekanaje takwa lao hilo kukubaliwa , maana mbunge wa sasa wa Iringa Mjini ni Msabatavangu , ambaye badala ya kutetea wamachinga , yeye amejipambanua kama mtetezi wa nguvu za kiume bungeni .

Bado haijafahamika mwisho wa Maandamano hayo itakuwa nini .
Picha tuone
 
Mkuu picha na video ziko wap!!
 
Hali inazidi kuwa bam bam upande wa cdm kila sehemu hapa nchini.

Mjini iringa machinga wameamua kuonyesha hisia zao kwa kuimba nyimbo za kumuhitaji mbunge wao waliye mzoea mh Msigwa.

Hizi ni salaam maalum kwenda kwa wale mahafidhina kuwa kazi aliyo ifanya mh Mbowe na mh rais imekuwa ni mkombozi wa watanzania .
 
wangeanzisha tu vuruga hapo Iringa kuliko kutegemea Msigwa aka binadamu adai haki zao...

Hapa ndio Watanzania tunafeli kwa kutegemea wanasiasa kutatua matatizo yetu baada ya sisi kuwalazimisha kutatua matatizo yetu..

Huu unyonge ndio unaofanya CCM iendelee kutawala milele..
 
Hali inazidi kuwa bam bam upande wa cdm kila sehemu hapa nchini.

Mjini iringa machinga wameamua kuonyesha hisia zao kwa kuimba nyimbo za kumuhitaji mbunge wao waliye mzoea mh Msigwa.

Hizi ni salaam maalum kwenda kwa wale mahafidhina kuwa kazi aliyo ifanya mh Mbowe na mh rais imekuwa ni mkombozi wa watanzania .View attachment 2546046
Hapo utasikia Mbowe akisema tufanye siasa Za kistarabu hayo siyo makubaliano Yetu na mama ha ha ha a a
 
sukuma gang ukijumlisha na nguruwe unapata wapumbavu matokeo yake DR LWAITAMA amewagonga mahakaman kwa upumbavu wao wa kukaa kwenye makorido ya lumumba badala ya kwenda kusoma ili kuongeza maarifa.
FB_IMG_1678455546452.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom