mngony
JF-Expert Member
- Jul 27, 2012
- 5,193
- 6,381
Bila shaka wengi mnamkumbuka vizuri huyu Mheshimiwa, mimi namkumbuka zaidi kwa uchapakazi wake akiwa Naibu Waziri Tamisemi awamu ya 4, alionekana kuwa mtendaji mzuri na alivutia kwa uwezo wake wa kujieleza, kujenga hoja na kujibu maswali Bungeni.
Nilitarajia makubwa kwake kisiasa hata siku kuona angekuja kufaa kuwa Waziri Mkuu. Nilishangazwa kukosekana kwake baraza la mawaziri na kuteuliwa ukuu wa Mkoa kabla ya kuambiwa amestaafu utumishi wa Umma
Je, amestaafu na siasa kabisa au anajipanga kurudi 2025?